NINA MTAJI WA 10M TSHs NAOMBA MSAADA WA BIASHARA

banalunda

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
231
66
Habari za majukumu ndugu wanajamvi!

Wakuu ninampango wa ku invest 10M kwenye biashara, so please naomba nipate ideas2, 3... hapa tuzichanganue, Karibuni..
 
Habari za majukumu ndugu wanajamvi!

Wakuu ninampango wa ku invest 10M kwenye biashara, so please naomba nipate ideas2, 3... hapa tuzichanganue, Karibuni..

Wewe ndio unatakiwa uwe na idea zako watu wakusaidie... yaani unataka watu watoe idea gani sasa wakati wewe ndio mwenye hela na shida ya mradi? Dah....
 
ok, fine mkuu, idea yangu ningependa kufanya iashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwa na soko maalum na kusambaza kwenye masoko makubwa dar. So issue hapa ni namna naweza ifanya, changamoto zake na nambna ya kuweza kuendelea na kuikuza biashara iwe sustainable...! mnakaribishwa.
 
Kama ukiona usumbufu invest kwenye ardhi, nunua plot(s) tulia ndani ya miaka miwili uone matunda yake!
 
Tafuta sehemu yenye mzunguko wa watu wengi ile ni maeneo kama sinza, kinondonu, Mbezi, Temeke, Tabata
Weka bar na jiko lake
Wahudumu wako wavutie kisawa sawa

Tafuta sehemu karibu na Guest house halafu sasa mtafute dada mmoja anaitwa mama kibunju ana contacts na wauza sukari wa viwango vya juu mjini hapa
Ukiwaweka wauza sukari wawili watatu pale wakiwa wachangamfu wakapata wateja watawaita wauza sukari wenzao waje hapo kwa bar yako
Wauza sukari wakiwa wengi maeneo karibu na bar yako wanaume wana rada ya wauza sukari utasikia naenda kwa banalunda kuna sukari inauzwa wote watakuja kwako kwa bar yako na wanavyokuja kwako ndivyo wewe cash flow yako inakuwa kubwa
Mjini hapa dirty business ndio mpango mzima
Muulize jamaa wa sanciro yeye alichukua wauza sukari wa somalia kabisa

Kamusi
Wauza sukar/ dada poa
 
tafuta fremu eneo lolote lenye mzunguko mkubwa wa watu, lipia japo six months weka nguo za mitumba clasic za kike na kiume,viatu,mikanda,saa,unaenda nairobi kila weekend unanunua nguo bei nafuu unakuja i assure u utapata faida kubwa sana maana wabongo wanapenda kuvaa sana,ukiweza kufanya hivyo unakua na wateja wko permanent kila unapofungua mzigo unawatumia message wanakuja kuchagua
 
kwanza angalia uwezekano wa sehemu yenye mzunguko wa wa2, fungua bar, kwa kuanzia icwe kubwa sana kwanza. Kwa haraka haraka yaweza cost milion 7 kwa kodi ya 6monts kama haitakuwa na jiko. Pili mtaji wa kufungua butcher la nyama c mkubwa sana fungua na butcher kama ukipata eneo lenye mzunguko wa watu ila wakazi. Hii itakusaidia kudiversify risks ya unochoinvest. Ushauri kwa sasa usitafute cnza tena bar, gesti, maduka ya nguo, salun,n.k cnza vimeshakuwa too much, kila ukivuka nyumba mbili kuna ki2 kimojawapo.
 
Habari za majukumu ndugu wanajamvi!

Wakuu ninampango wa ku invest 10M kwenye biashara, so please naomba nipate ideas2, 3... hapa tuzichanganue, Karibuni..


Nikopedhe mimi niwe nakulipa riba kama bank ifanyavyo hutatoka jasho
 
Habari za majukumu ndugu wanajamvi!

Wakuu ninampango wa ku invest 10M kwenye biashara, so please naomba nipate ideas2, 3... hapa tuzichanganue, Karibuni..
Mi nakuuzia Idea kama una Million 2 weka Mezani nakupa hadi njia ya kuifanya na hii kwasababu sina Pesa ndio maana namua kufanya hivyo.
 
jaribu kupitia post za nyuma haya mambo yalishazungumzwa sana..... karibu

pole lakini haujasem uko wapi???? kama hapo ulipo kuna umeme na nyumba unako kaa ni yako kuna biashara 2 CHIMBA KISIMA CHA MAJI then gawa mabomba kwa mjilirani kwa billy mwezi 20 elufu ukiwa nanyumba 40 sio mbaya.2 nunua MACHINE ya kuoku mikate just 6.m.pamojana Mixer yake no presure elayake ni wewe 2
 
Hi! Filonos,
Tafadali naomba kujua hiyo mashine na mixer ya mikate naweza kupata wapi? na inauwezo kiasi gani, yaani mikate ya kawaida mingapi kwa batch moja?
 
Nikopeshe hiyo hela, nitakulipa na interest ya maana ukiwa unatafuta idea, maana idea za kupewa sa ingine hufail, tafuta wht ur capable of, passions, ability, huku ukicheki trends na mazingira ubuni cha kufanya, ila ukiwa unafanya hayo unaweza kuwekeza kwa kunikopesha, ninakopesheka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom