Recent content by cleymo

  1. cleymo

    JamiiForums Tanzania Pius Ngw’andu alijiuzulu Ubalozi Japan akaenda kugombea Ubunge Maswa

    Ng'wandu msituharibie majina yetu ya Usukumani😁
  2. cleymo

    JamiiForums Tanzania Kwa Wataalamu wa Tiba Asili.Dawa Gani Inafaa Kutumika Kuzuia Chuma Ulete kwenye Mazao ya Shambani?

    Sayansi tu ya kawaida! Hiyo ardhi ina uhaba wa rutuba, mazao kama maharage huongeza virutubisho muhimu kwa ustawi wa mazao mengine😂 #mshamba_hawezi_kuelewa!
  3. cleymo

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mlizi, leo siku vizuri kiafya sasa bosi wangu alinikuta nimelala akanipiga picha na kuweka kwenye group

    Tafta mwanasheria mumshikishe adabu😅
  4. cleymo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Navukaje hapa? Huyu mke mtarajiwa hana muda na mimi kabisa

    Shida uliBargain hadi mahari.. kwann asikupande kichwani?!
  5. cleymo

    JamiiForums Tanzania Leo kwa mara ya tatu kujaribu Kitimoto nikajua kwanini haipendwi

    https://www.jamiiforums.com/threads/ijue-top-10-ya-nyama-pendwa-duniani.2111624/
  6. cleymo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jada Smith akubali yeye ni mraibu wa ngono

    Akafie mbal huko na kansa yake😄
  7. cleymo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    😃Naskia Irene kachangia fedha na mahitaji kwa wahanga tukio la Kariakoo🤩❤️‍🔥
  8. cleymo

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wanapenda kuvaa mabwanga?

    Hao wazee 74 kushuka chini😁 Mi naona inategemea na ustaarabu wa generation yako ulyokulia ujana wako! As you age, taste yako ya vitu vingi inakua stagnant.. Unajikuta unaanza kuishi kama walivokuwa wakubwa wako wa enzi izo, hata mziki utajikuta unarudia zilipendwa🤣
  9. cleymo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

    Sikupingi kabisaaaa.. 💯
  10. cleymo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupika makange ya kitimoto

    Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto! Ni moja kati ya majina yake maarufu. [emoji6]mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
  11. cleymo

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya kwenye ubunifu wa Programming kwa wahitimu wa IT Tanzania, Roughly 80% wanaishia kujua html tu.

    Certificate C programming + HTML, Diploma C na Java kidogo bila kusahau Web development deeply, ukija Bachelor unapigwa kachumbari moja hatari.. Data structure yenyewe unarudishwa tena kwenye C. Cha ajabu mnafundishwa kutafuta "sum of two integers" na code zingine ambazo zote interface ni...
  12. cleymo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suala la Achraf Hakimi na Mke wake: Watu ni wepesi kuongea, hawataki kufanya reasoning

    [emoji188]
  13. cleymo

    JamiiForums Tanzania Jiko la mkaa laua tena Njombe ni baada ya mwingine kulala na jiko kwenye kibanda cha biashara

    Hivi kifo cha mkaa huwa ni cha kimyakimya au unateseka kidogo!?
  14. cleymo

    JamiiForums Tanzania Psychedelic Drugs & Consciousness

    Vipi kuhusu coordination! inabadilisha control ya mwili kwa namna yoyote ile? Kama mwendo n.k
  15. cleymo

    JamiiForums Tanzania Faida 7 zinazopatikana kwenye mbegu ya Parachichi

    Tunaandaa vp hiyo mbegu...au unatafuna tu
Back
Top Bottom