Wasomi wa Tanzania wamejidharaulisha wenyewe kwa kusahau taaluma na kuendekeza njaa. Wasipobadilika hakuna mtu atawachukulia serious. Ni muda kwa Professor Kitila kuomba wasomi wenzako kujitathmini pia...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hata maana ya demokrasia hujaelewa mkuu,watu wamechoshwa na mfumo,haja ni kujiuliza kwa nini watu hawajitokezi?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Huyu anaota mkuu,kutoka dar mpaka mbinga ni lami mwanzo mwisho na lami ya kutoka songea mpaka mbinga bado mpya sana na kiwango sana,nimepita october last year...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Badala ya kujidanganya work hard mkifikishe hicho chuo chenu cha dit kwenye hizo levels mnazotaka, mie ni experienced Engineer na tatizo tunalopata kwa Graduates ni mfumo wa elimu coz hata walimu wenu huwa wanashangaa kuona mambo yanayotokea kwenye industry wakifananisha na wanayofundisha,wote...
Mie ni experienced Engineer na niko kwenye uajiri pia,practically wote sawa hakuna tofauti kubwa coz ni tatizo la mfumo wa elimu,hata walimu wao wakija visiting kwenye industry huwa wanashangaa tofauti ya wanayofundisha na wanayoyakuta,but theoretically COET are better ukifananisha na...
Hakuna kosa na Makamba ame-over react tu,intension ya Mnyika ilikua wazi tushinikize viongozi sio kutukana,funzo liwe kwamba kuna vitu vingi huwa vinatuumiza wananchi lakini hatupati sauti ya kutusemea,wanapopitisha vitu holela wajue maumivu tunayopata na Mnyika dared to be our voice,as per...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.