Recent content by Cleopatra Four

  1. C

    JamiiForums Tanzania Toyota Stout pick up 2200

    milioni 7
  2. C

    JamiiForums Tanzania Toyota Stout pick up 2200

    Nahitaji stout pick up 2200 single cabin popote pale ilipo nitaifuata mwenye nayo anitumie picha , mara Nyingi hii huwa zinapatikana Moshi vijijini
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Je yupo mtu anayeweza kunisaidia kufanikisha ili ? Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wana Jukwaa Salam Nyingi kwenu Nawaombeni taratibu na nini chakufanya ili niweze kumiliki kampuni binafsi ambayo ina mtaji chini ya shilingi Milioni 10 Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wakuu Salama. Naombeni mnisaidie Taratibu za kuanzisha kampuni binafsi yenye mtaji wa Chini ya Milioni 10 Natanguliza Shukrani na Heshima kubwa kwenu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Pale suala nyeti na mustakabali wa taifa linapogeuzwa kuwa siasa!!

    Wakati Mwingine ukweli unauma
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Wema Sepetu alikujaga na Mama Mkanye Mwanao naona sasa hv sijui atakuja na Operesheni gani.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Tunashindwa kuelewa Tatizo sio Lowassa Tatizo wanawanchi hatuhitaji ccm tena ndo tatizo yaani ukiweka CCM na jiwe tunachagua jiwe kuliko ccm
  9. C

    JamiiForums Tanzania UVCCM kwanini Mnaingilia Uchaguzi wa Shirikisho ??

    Sixtus Mapunda anafanya nini RoseGarden ?? Uchaguzi huu ni wa wasomi unatakiwa huru na wa haki
  10. C

    JamiiForums Tanzania UVCCM kwanini Mnaingilia Uchaguzi wa Shirikisho ??

    Uvccm na Shirikisho ni Jumuiya mbili tofauti ndani ya CCM kwanini ninyi UVCCM mnaingilia uchaguzi wa Shirikisho mmeshindwa kwenye Jumuiya yenu mnakuja kwenye Shirikisho , Enyi Sixtus Mapunda, Amiri Mkalipa, Saul Mwaisenya , Alan Kiluvya hapo Rose Garden Bar mnapanga jinsi ya kutuvurugia...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Mimi sipendi kuona mtu yoyote anatungiwa habari ya uwongo ili wananchi waaminishwe uwongo kwa faida ya ubinafsi. Hoja yangu inajikita kwenye paragraph yako hii hapa chini, tuhuma zingine ziwezi kuziongelea kwa sababu hazihusishi watu wengine au pande nyingine nje ya Edward Lowassa mwenyewe...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kikwete hana haki ya kutuchagulia Rais ajaye

    Ila pia hatuambie kuwa ametuibia kwa kiasi gani kuanzia 2005 cause hali ya uchumi ni mbaya sana kwasasa !!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Prof. Sospeter Muhongo usiyemjua

    Ila pia tusisahau kuwa ni Mwizi kweli kweli alilidanganya bunge , akalibiia na Taifa mwizi kabisa kabisa hafai hata kanisani wala msikitini mwizi
  14. C

    JamiiForums Tanzania Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    Lowassa anafaaa kuwa Raisi wa Tanzania kwa miaka 10 ijayo Ewe Mtanzania Mzalendo je wajua, Wakati wa mtoto wa kitanzania kupata Elimu bora na bure umewadia, Huduma bora za Afya kila kijiji, Ajira kwa Vijana, Matumizi bora ya rasilimali zetu umewadia, Tuungane kwa pamoja kuleta mabadiliko yenye...
Back
Top Bottom