UVCCM kwanini Mnaingilia Uchaguzi wa Shirikisho ??

UVCCM kwanini Mnaingilia Uchaguzi wa Shirikisho ??

Joined
Feb 3, 2015
Posts
18
Reaction score
9
Uvccm na Shirikisho ni Jumuiya mbili tofauti ndani ya CCM kwanini ninyi UVCCM mnaingilia uchaguzi wa Shirikisho mmeshindwa kwenye Jumuiya yenu mnakuja kwenye Shirikisho , Enyi Sixtus Mapunda, Amiri Mkalipa, Saul Mwaisenya , Alan Kiluvya hapo Rose Garden Bar mnapanga jinsi ya kutuvurugia Uchaguzi wa Shirikisho hizo pesa, Ewe Sixtus Mapunda hizo Fedha unazogawa ili kuvuruga Uchaguzi unatoa wapi ?? Na kwa ajili ya nini ?? Huu ni Uchaguzi wa wasomi tutachagua kiongozi kwa kutokana Uwezo wake na sio kwa nguvu ya pesa mpelekee salamu zangu aliyekupa hizo pesa ..
 
Ni vyema uchaguzi wa shirikisho ukawa huru na wazi ili kuonesha dhana ya democrasia ndani ya chama.
 
Sixtus Mapunda anafanya nini RoseGarden ?? Uchaguzi huu ni wa wasomi unatakiwa huru na wa haki
 
Back
Top Bottom