Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tafuta mwanasheria kama unaanzisha a limited company ya kibiashara.
Utatayarisha memorandum and artiles of association.
Pendekeza jina la biashara yako na kama halijachukuliwa au kutumika mahali kwingine pale BRELA.

Utapata certificate ya usajili(certificate of incorporation).

Nenda kaanzishe akaunti Benki.

Mjulishe sasa Harbinder Singh akuingizie tshs 40.4mil.
Biashara tayari!
 
Wana Jukwaa
Salam Nyingi kwenu
Nawaombeni taratibu na nini chakufanya ili niweze kumiliki kampuni binafsi ambayo ina mtaji chini ya shilingi Milioni 10

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Unahitaji mtu ambaye atakusaidia kufanya haya mkuu. Inaonyesha una Pesa tu lakini hujaandaa lolote bado

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Ni rahisi pata tin no pale tra, nenda halmashauri wakupe leseni,.. Halafu nenda brela wacheki jina then likipatikana watakupa process za kufanya

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Wana Jukwaa
Salam Nyingi kwenu
Nawaombeni taratibu na nini chakufanya ili niweze kumiliki kampuni binafsi ambayo ina mtaji chini ya shilingi Milioni 10

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Mkuu karibu
Suala lako tunaweza kulifanyia kazi, kuanzia ushauri wa biashara gani ufanye na usajili wa kampuni au jina la biashara
Kwa maswali na taratibu za ufanyaji kazi usisite kutucheki katika:-
i-Business Consult
Mob: 0659211222
Email: iconsultbuzness@gmail.com
Karibu



Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu,
salamu kutoka Italy,
nataka kusajili campuni mpya Tanzania, nimeangalia website ya BRELA na katika downloads zao, kuna sample ya Memorandum.
Sasa wasiwasi linakuja kwasababu nikiangalia property ya ile File Word, inaonekana imeandikwa mwaka 2007 wakati mimi mwaka View attachment 534596 2014 nimeisajili campuni na kichwa cha juu kilikuwa tofauti.
Naambatanisha picha mbili, ya kwanza ni mfano ambao umewekwa kwnye website ya BRELA, ya pili ni ile niliyotumia mwaka 2014.
Maombi yangu kwenu ni kama kuna mtu anajua siku hizi unatumiwa utaratibu upi.
Yaani right picha ni namba 1 au namba 2?
Ahsanteni sana.
Giuseppe Zingaro
Mkuu sijakuelewa vizuri swali hasa lako au hoja yako ni ipi? Sheria ya sasa ni ya 2002 ya usajili Wa kampuni! Anyway, twaweza wasiliana katika barua pepe iconsultbuzness@gmail.com kwa Maelezo, ushauri na huduma za kusajili kampuni yako mpya!
Karibu

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Ingia brela halafu fungua account ya email. Ukishamaliza fuata maelekezo.

Niliwahi kusajili jina na nikalipa ada ya usajili kwa M pesa, na baada ya siku mbili wakanigumia certificate of registration kwa njia ya email nikaiprint.

So it works, komaa na laptop yako tu.
Mkuu ni rahisi tu
Hatua ya kwanza ni kujisajiri kwa kufungua akaunti na Brela katika mfumo wa online ie. OBRS!
Baada ya kuwa na akaunti utaenda katika menu ambayo utachagua aina gani ya usajili utakao kama individual, partnership, company nk
Utapendekeza jina kipekee ambalo biashara/kampuni yako iitwe
Kwa Maelezo zaidi tembelea website ya brela
Kwa msaada usisite kutucheki au kuwasiliana katika barua pepe I consultbuzness@gmail.com
Karibu

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
ZINGATIA HAYA UNAPOTAKA KUSAJILI KAMPUNI

1. Jina.
Unapotafuta jina jitahidi jina liwe linatamkika kirahisi ili isikusumbue katika marketing lakini kikubwa ni maana ya jina. Kuna maneno mengine ni matusi kwa lugha nyingine, hivyo jitahidi sana kufanya utafiti wa kina wa jina hilo.

2. Mtaji:
Maamuzi ya mtaji kiasi gani kiandikishwe ni ni jambo la msingi sana. Wengi hupenda kuweka mtaji mdogo ili kupunguza gharama za usajili na kodi, vema, lakini hicho kisiwe kigezo mama cha kukuamulia mtaji uwe kiasi gani. Tambua kwamba mtaji unawakilisha ukomo wa kuwajibika kwa kampuni katika wajibu wake.

3. Wanahisa:
Wanahisa mnatakiwa kuwa watu mnaofahamiana vema, wenye mrengo unaofanana na mnaelewana. Tofauti na hilo itasababisha kuchelewa kwa maamuzi muda wote na kuhatarisha ustawi wa biashara.

4. Uandishi wa katiba:
Ni hatari kutegemea mtu yeyote asiye na utaalam wala ujuzi wa kuandika katiba akuandikie. Kibaya zaidi wengine huandika wao wenyewe hata kama hana utaalam na uzoefu huo. Hata kwa wanasheria, si kila mwanasheria anaweza kukuandikia katiba iliyo standard.

Kitu kibaya zaidi watu hudhani kwamba unaweza kuchukua katiba yoyote na kubadili majina tu kisha ukaendelea na usajili. Hawaangalii mpangilio wa maneno na malengo, hawazingatii kama katiba ina vipengele vya kuruhusu mambo Fulani Fulani kufanyiwa mabadiliko,

Hawazingatii ni namna gani founders wanalindwa na katiba, na mengine mengi. Hivyo unashauriwa kuwatumia wataalam wenye uzoefu kufanya kazi hiyo.

Kwa huduma za uhakika na weledi katika masuala hayo yote, waone essence consult company limited.
Pia tunatoa usaidizi katika kusajili NGO, Huduma za kihasibu, kuandika michanganuo ya biashara, na usaidizi kwa wale wanaotaka kuanzisha taasisi za mikopo n.k Wasiliana nasi kwa namba 0768597186 au email
doricelucas21@gmail.com
 
Wakuu naomba kuelekekezwa namna ya kusajili kampuni na ikiwezekana nijue ina wez kunihharimu kiasi gani cha fedha.
 
Back
Top Bottom