rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,442
Nimemsikia akijaribu kuelezea kuhusu Rais ajaye,katika mazungumzo anataka kutuonyesha kwamba yeye ndiye anayetakiwa kutupatia Rais wetu mpya tunayetegemea kumpata mwisho wa mwaka huu,Kikwete ameharibu sana nchi yetu na kamwe asifikiri Watanzania wanaweza kumpa nafasi kama hiyo,awaeleze watanzania alichowafanyia tangu 2005 mpaka hii 2015 kabla hajawaza kuchagua mtu wa kumrithi,ni aibu na fedhaha kuchaguliwa Rais na mtu aliyeshindwa Urais,pumzika nenda kijijini katulie tuachie nchi turekebishe ulikoharibu:A S embarassed: