Recent content by Cleopatra 2

  1. Cleopatra 2

    GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Wanajifurahisha tu, Rais ni JPM mpaka 2025.
  2. Cleopatra 2

    Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega

    Ni sawa tu hakuna shida. Kwa Mbowe katoa nn?
  3. Cleopatra 2

    RUVUMA: Dkt. Vincent Mashinji na viongozi 8 wa CHADEMA wapandishwa kizimbani, wanyimwa dhamana

    Ili niwe mwanachadema labda nipewe pesa nyingi maana siwezi kuwekwa ndani kwa ulaji wa mbowe na lowahasa
  4. Cleopatra 2

    Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

    Umeamua kuikana Leo?
  5. Cleopatra 2

    Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

    Weka yako ndo itanoga
  6. Cleopatra 2

    Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

    Sawa mkuu ila mnatia aibu
  7. Cleopatra 2

    Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

    Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu? Huwa hamuoni aibu? Hii hufanywa na wanaume walio wengi Naomba nipatiwe majibu please.
  8. Cleopatra 2

    Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

    Kasome tena mkuu mleta hoja amefafanua vizuri tu acha kupotosha
  9. Cleopatra 2

    Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

    Hakika mkuu upo very right
  10. Cleopatra 2

    Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

    Hata akiongea huyo amejitoa kwa shetani
  11. Cleopatra 2

    Madhara ya kufanya tendo la ndoa hovyo hovyo!

    Mchungaji upo sahihi sana,Mungu akubariki uwe msaada kwa wana MMU
  12. Cleopatra 2

    ARUSHA: Basi Abood lapata ajali

    Afadhali yalija sababisha madhara makubwa sana, Ila madereva wa mabasi sometimes huwa wana haraka zisizo na maana
  13. Cleopatra 2

    Tetesi: Kuzuiwa kufanya Siasa kwa miaka 6, kisa Urais

    Uchizi wake utakuwa na ahueni maana mpka ameweza kupost Uzi huu tena kwenye jukwaa sahihi
  14. Cleopatra 2

    Wanachuo wangu wananitega

    Yaani we unachochea wenzio waliwe?
Back
Top Bottom