Recent content by cleoalchemy

  1. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Leteni Uzi kuhusu huo upande huo WA mume.ili tuweke kwenye mzani.wanawqke wanavebwa sana
  2. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    MWANAMKE SI ndiye aliyesababisha akauwawa na usikute waliomshauri hayo mambo ya Mali wanataka kwenye hiyo hiyo familia
  3. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Ndoa nyingine ni mtego: Mtu akistuka tusitie maneno zaidi

    Mkuu Kuna vitu haviwezi kutokea ikiwa bado HUJAOA.ukioa tu vitatokea navyo ni mwanga na Giza...Sasa ufahamu wako ndio utakao amua mungu akufanyie vipi
  4. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa mzinzi halafu ukawa mwanaharakati kuponda ushoga. Ushoga ipo ndani ya uzinzi!

    Uzi nimeusoma wote ni fact kilichoandikwa humu ndani
  5. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Absolutely hiyo magnet tusioiona ina kitu inafanya inatufuatilia inatujua inatusaidia katika mazingira tusioyaelewa
  6. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    SinA la kusema kwa kweli
  7. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

    Shahawa zetu wanazipeleka wapi
  8. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Nakusanya pesa za forex royale app lakini nataka nizipate kwenye akaunti yangu

    Hoja yangu nakusanya pesa za forex royale app lakini nataka nipate hizo ela kwenye ac yangu. (1) naweza kupata?(2)niliweza kujiandikisha kwenye app tigo pesa duniani ili izo pesa ninazokusanya nipate nilipowaruhusu kwenye app ya tigo nikasangaa nakatwa 4000 ela hatumwi. GREAT THINKER!! Wekeni...
  9. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Upuuzi huu wa Startimes havumiliki

    Startimes wanayo app yao au ni Dstv tu
  10. cleoalchemy

    JamiiForums Tanzania Startimes acheni wizi

    Dstv.anayo app ya kupandisha kifurushi au kushusha je startimes vip
Back
Top Bottom