Upuuzi huu wa Startimes havumiliki

Upuuzi huu wa Startimes havumiliki

Startime nawakubali sana local Channel nazipata bure kabisa mwaka wa tano sasa nawapa bigup
 
Startimes ni wabia na serikali ndio maana hatusikilizwi malalamiko yetu, tunalipishwa local channels kila mwezi na usipolipia unabaki na Tbc1 tuu.
 
Watu wagumu saana kuelewa, mnalalama tu. Startimes wameweka wazi.. Kama ulinunua kisembusi kilicho uzwa Kwa bei ya kawaida cha laki moja na 30.,Hicho kina FTA bure bila malipo. Pia kuna kisembusi kilicho uzwa Kwa bei ya promotion (74,000/=) hiki channel za ndani unazilipia. Ukitaka inabidi uongeze pesa ili itimie laki na 30 kwenye Hyo 74k ,utafunguliwa hzo Chanel na huto lipia
 
Tatizo letu tunapenda kununua vingamuzi vya promosheni halafu tunasahau kuulizia vigezo na masharti
Kabisa mkuu, vingamuz vya promotion huuzwa 74k.na vya kawaida huuzwa 130k.ukinunua cha promotion unapaswa kulipia kila mwez.. Hawabakizi hata tbc, ukitaka zionekane bure wanakutaka uongeze pesa ili ifikie 130k kutoka kwenye 74 k ulolipia awali
 
Si ndo serikali inawataka hao siye wa Azam tushakubali kifo na sinunui dishi lingine
 
Mkuu kufungua baada ya kulipia hawana shida.

Lakini je wajuwa kwamba kulipia kisimbusi cha Star times ambao wapo kwenye FTA ni kuibiwa?

Je umejenga hoja ama kufikiria kudai haki zako ulizodhulumiwa kwa kulipia isivyo stahili hicho kisimbusi tangia ukinunue?

Halafu kutoonesha chaneli zingine za ndani kama alivyozitaja mtoa mada, ni uharamia wa taifa na viongozi wanaoendelea kufumbia uozo huo wananuka harufu ya uhujumu uchumi?

Kuna baadhi ya haki za raia ambazo hatuzijui!

Sasa tunapofumbuliwa macho, aidha tunaanza kubishi kwamba hizo si haki zetu ama kujikejeli wenyewe
kwamba vya "bure gharama"!

Mtu unaanza kujiuliza, hawa watu ni raia wa namna gani wasiopenda kuhoji haki zao?

Ama ni kampeni za mafisadi kuvuruga mada za raia za kufumbuana macho!

Hivi kuna watu na akili zao, wapo ambao hawaelewi kwamba kuna huduma zinazomstahili raia kuzipata bure kutokana na ulipa kodi wake na kuna huduma za kugharamia?

mm hata nisipolipia channel za fta napata bure
 
mimi fta zinabaki bure baada ya kifurush
 
Niliwapigia 0764 mia7mia8 wakanieleza kuwa vinafunguka kwa awamu ama niweke kifurushi, ndiyo kitakuwa kimefua Fta moja kwa moja, lakini bado sijafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom