Recent content by Clemence joseph

  1. C

    Hanihudumii ila yeye anataka nimhudumie. Naombeni ushauri wenu hii ni ndoa au ni nini?

    Pole yenu sana ila ndoa ni mitihani uliopewa na Mungu naomba usifanye maamuzi Kwa pupa jipe muda wa kukaa mwenyewe na kutafakari Kwa makini utapata uamuzi WA busara pia Yule jamaa wako wa chuo mfute akilini wakati unatafari Maisha yenu maana ukiweka kuwa yeye ndo mbadala IPO siku utamkumbuka...
  2. C

    Ulimwengu Wa Plastiki Au Dunia Ya Watu.

    Serikali izidi kubana tuweze kuondokana na matumizi ya plastics zote hata chupa na vifungachio vyote vya plastics vioondolewe kabisa naipongeza Sana serikali Kwa kuanzia hapo nawaende mbele zaidi
  3. C

    What has God created since the last day of creation?

    Hapo tunapaswa kufikiri nje ya box tusikariri na kujibu kila kitu vingine vinahitaji fikra yakinif
  4. C

    Ulimwengu Wa Plastiki Au Dunia Ya Watu.

    Mh hapo ni muhimu kuzuia na kupiga vita plastic Kwa asilimia 100
  5. C

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta taarabu inayoitwa Batangas na njia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

    Jani muziki kale Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    Windows 10 october update 1809

    NGOJA NITAJARIBU KUUPDATE NIONE KISHA NTAWALETE MREJESHO
Back
Top Bottom