Ulimwengu Wa Plastiki Au Dunia Ya Watu.

Ulimwengu Wa Plastiki Au Dunia Ya Watu.

Majiji yetu ni machafu saba huo ndio ukweli, tungekuwa na utaratibu kwa kikabiliana na hili swala uchafu, mifuko ya plastics isingekuwa tatizo, yaani badala ya kutumia ilo tatizo to create ajira, wenzetu wako wengi kuliko sisi na bado wanatumia hiyo mifuko,

wenzetu wanamifumo mizuri ya uzoaji takataka ambapo makampuni yanazoa takataka majumbani na kussfisha miji. Kwa kufanya hivi wametengeneza ajira nyingi tu. Sasa hili kweli mpaka mzungu aseme kweli? Ebu tujifunze kwa kugeuza matatizo kuwa opportunity.
 
Ni kweli kabisa mkuu tusisubiri mpaka wenzetu waanze na sisi ndio tuunge msafara. Ni vyema tukachukua hatua mapema juu ya changamoto hii ya mifuko ya plastiki. Mfano mzuri ni nchi ya Rwanda walichukua tahadhari mapema kabla ya hatari na kwa asilimia kubwa wamefanikiwa.
 
Kwa hatua zilizochukuliwa unaonaje utekelezaji wake?
Nimefurahi sana kwa akili iliyotumika na uitikio wake kwa wananchi
Hii inawapa fursa pia kwa watu kuchangamkia fursa ya kuleta mbadala wa mifuko
Utekelezaji ni mzuri sana na hata mifuko imepotea kabisa bila vita

Bado usafi tu wa maeneo mengi ila tutayasahau
 
Serikali izidi kubana tuweze kuondokana na matumizi ya plastics zote hata chupa na vifungachio vyote vya plastics vioondolewe kabisa naipongeza Sana serikali Kwa kuanzia hapo nawaende mbele zaidi
 
Nimefurahi sana kwa akili iliyotumika na uitikio wake kwa wananchi
Hii inawapa fursa pia kwa watu kuchangamkia fursa ya kuleta mbadala wa mifuko
Utekelezaji ni mzuri sana na hata mifuko imepotea kabisa bila vita

Bado usafi tu wa maeneo mengi ila tutayasahau
Lakini bado wananchi hawajapata elimu ya kutosha juu ya athari na madhara yatokanayo na mifuko ya plastiki katika mazingira. Elimu yakutosha bado inahitajika mkuu.
 
Kweli kabisa elimu inahitajika, na wengi wameanza kuona mabadiliko baada ya uchafu kupungua
 
Hasara niliyoipata kutokana na mifuko ya plastic sitaisahau.

Niliamua kununua pipa kubwa kila mfuko wa plastic unaonunuliwa nyumbani lazima uende kwenye hilo pipa takataka yoyote ya plastic lazima iwekwe kwenye hilo pipa.
 
Back
Top Bottom