geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
Kwaiyo nan mzazi wa kwanza hapa dunian..maana hata wazazi walizaliwa
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Uumbaji upo kwenye mawazo yako na dogmas ulizolishwa kanisani..
Wewe umezaliwa na mama yako ujaumbwa kama unavyo dhani..
Bila mama yako na mbegu ya Mzee wako usinge exist..
Bora uwatukuze wazazi wako na sio mungu ambae ni wakufikirika tuu
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app