Recent content by CLAYTON

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    AMTCO Tanga Dar. CHEMSI Miono Dar. TAMTCO Tanga Dar. MORETCO. KIPEPEO BUS SERVICE. TAUSI BUS SERVICE. NDEGE MNANA BUS SERVICE. SHUKULANI BUS. YARABI SALAMA. CORETCO. NJUWENI Kiwangwa Dar.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Baba Ikitokea UMEFARIKI tukukumbuke kwa lipi? Nimeumia sana

    Kuwaleta duniani na kuwalea hata kwa umasikini nilo nao inatosha sana na ndio itakuwa mipongo ya mungu, kama haitoshi basi kabla sijafa wachaguwe kabisa babayao watakayo mkumbuka akifa.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    Duh! kumbe ni ndoto tu za mchana za wanao jiita wasomi teheteheteheteheteheteheeeeeeeeee.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je kuna ukweli wa hili kwa wafugaji wa njiwa na kanga

    Hata mimi nimefuga sana hao njiwa na kaka lakini sina uhakika na hilo zidi ya watu kujakwangu kununuwa tena wanapenda sana njiwa weupe na weusi sasa sijuwi kama hao nao walikuwa na imani kama hiyo!!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba: Tumeistukia UKAWA

    Mbona wana ccm hamjiamini! mnajitahidi sana na mipango yenu ya kutaka wananchi wakubali uongo wenu wa kupandikiza mambo kuivuruga UKAWA lakini hamtaweza mtanzania wa leo si wa mwaka 2010 watu wanaijua ccm na janja yake naona mnatumia nguvu nyingisana kuivunja UKAWA hataweza ng'oo.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa anatisha.
  7. C

    JamiiForums Tanzania LOVE STORY --- jukwaa huru!

    Ishu imeanzia kwenye vocha nime kamaindi nikampa buku 5000 nikamuambia kanunue tigo ingiza kwenye cm yoko kisha nipunguzie buku 3000 mbili na wewe utumie ndio mchezo ukaanzia hapo ninako mpaka sasa.
  8. C

    JamiiForums Tanzania LOVE STORY --- jukwaa huru!

    Ishu imeanzia kwenye vocha nime kamaindi nikampa buku 5000 nikamuambia kanunue tigo ingiza kwenye cm yoko kisha nipunguzie buku 3000 mbili na wewe utumie ndio mchezo ukaanzia hapo ninako mpaka sasa.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Kongwa wananchi wananunua ndoo ya maji sh.1,000 wanakula unga wa ubuyu, nyumba za tembe

    NDUGAI yupo kwa kuitetea CCM TU na sio kuwatetea wananchi wa KONGWA kama hamjui ndo nawajuza. by baba J. au baba C.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Boti linawaka moto bahari ya Hindi

    poleni sana nduguzetu Mungu atawasaidia.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kufutwa Muungano yatajwa leo Z’bar

    Kama vp ni kuwatosa 2.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa FFU - Arusha na polisi wengine watatu wafukuzwa kazi

    Kamhanda nae vipi?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Majengo ya Wema mbioni Kubomolewa

    Je? ni huyuhuyu Sepetu au Wema ni jina tu la mijengo.
  14. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kampeni Mbagala

    Tena sio janga kidogo na hata uwelewa wao unatia shaka, na hakuna sababu ya kujibu hoja zao.
Back
Top Bottom