Je kuna ukweli wa hili kwa wafugaji wa njiwa na kanga

wamadish

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
438
87
Habari wakuu je kuna ukweli kwamba ukifuga njiwa nyumbani kwako au kanga hukulinda na wachawi au hukuepusha na mambo mabaya (over beyond) hili swala limekaaje wakuu?
 
Mkuu tusubiri wataalamu waje mimi cjui

Kha kumbe hujui sasa umefata nini huku njiwa na kanga wachawi huwa hawakatizi na kanga anaweka ulinzi hata akiingia mtu mgeni nyumbani kwako huwa anapiga kelele sana endelea....
 
na nguruwe je?
 
Nimefuga sana njiwa utotoni mwangu lakini ndio kwanza nasikia kwako njiwa anakulinda na wachawi, kanga sijawahi kufuga ngoja niwasubiri waliowahi kufuga kanga nipate jifunza kitu
 
Nyama yake taaamu ajabu na ukila huwezi acha na ndio nyama ambayo mnaweza kula kilo tano mtu nne bila kukifu na kitu inaitwa mapepo hawezi sogea upo?

kweli mkuu nguruwe pekee ndie kiboko ya wachawi.
 
Hata mimi nimefuga sana hao njiwa na kaka lakini sina uhakika na hilo zidi ya watu kujakwangu kununuwa tena wanapenda sana njiwa weupe na weusi sasa sijuwi kama hao nao walikuwa na imani kama hiyo!!
 
Kwa upande wangu mimi KISHINDO napendekeza mabadiliko ya siku hiyo. Yaani iwe Jumapili au Jumamosi moja mida ya mchana ili watu wengi wahudhurie. Pia naomba utaratibu wa upatikanaji wa Tshirt uwekwe wazi mapema iwezekanavyo ili asipatikane mtu atakayesema kakoswa Tshirt. Mwaweza kuziweka maeneo fulani panapofikika kwa urahisi mf. Mlimani city ili watu wakazinunue.
Kiukweli mtu ambaye hajafika Ocean road hospital akifika ndo atajua ya kwamba siku moja naye aweza kuwa kama hao wagonjwa.
Ahsante kwa wazo zuri.
 
mkuu naona umechochora aisee a.k.a umeingia cha kike??
umechanganya madikodiko
 
Haya sasa sifa za "nguruwe" aka kitimoto, aka noah, aka mnyama, aka ntume hapendi,unahamishia kwa ndege.
 
Kwa upande wangu mimi KISHINDO napendekeza mabadiliko ya siku hiyo. Yaani iwe Jumapili au Jumamosi moja mida ya mchana ili watu wengi wahudhurie. Pia naomba utaratibu wa upatikanaji wa Tshirt uwekwe wazi mapema iwezekanavyo ili asipatikane mtu atakayesema kakoswa Tshirt. Mwaweza kuziweka maeneo fulani panapofikika kwa urahisi mf. Mlimani city ili watu wakazinunue.
Kiukweli mtu ambaye hajafika Ocean road hospital akifika ndo atajua ya kwamba siku moja naye aweza kuwa kama hao wagonjwa.
Ahsante kwa wazo zuri.

Mkuu umechepuka,michepuko haifai(soma heading na ulichopost!!!)
 
Back
Top Bottom