Ninae Mdogo wangu pia Amesomea hii Kozi ya GIS & Remote Sensing. Ni mzuri sana kwenye hizo Software za GIS .Hivyo naomba kama ukipata Nafasi share nimtumie na yeye apate pakuanzia.
Ndio maana nikasema walikuwa wanavutia wajinga tuu wanunue.
Na sisi hatukulijua hilo mpaka jamaa alipokuja kutuambia kwamba huwa hawatoi hilo begi,wanatangaza tuu kuwa ni Ofa ila, Hamna Kitu .
Mwezi huu huu wiki iliyopita nilikuwa na jamaa yangu mmoja hivi ni mgeni wa jiji , sasa nilikuwa namtafutia sehemu za nguo za mitumba.
Tukapita pale Ilala Boma Kwenye ule ukuta wa TBL ambao kuna njia ya vumbi kuelekea Mchikichini. Sasa pale hua kuna Jamaa anafanya mnada wake Kwenye kijukwaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.