Recent content by claree

  1. C

    JamiiForums Tanzania Manyara: Msafara wa Waziri Kigwangalla wapata ajali. Waziri ajeruhiwa na Mmoja afariki dunia

    Mungu mponye Waziri wetu jamani!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu nane ya Reli mpya ya Dar - Moro

    Kwa hiyo ilikua ianze kununuliwa treni badala ya kujenga tell kwanza? Hayo ndio maajabu!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, umeketi upande gani sasa?

    Na kilichomleta rais wa mioyo yenu ni.......!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Bavicha ACHENI kuropoka, LOWASSA kukutana na MAGUFULI mnalalama, mbona LISSU alikutana na MAMA SAMIA?

    Tatizo la chama kl mtu ni msemaji, kl mtu anaropoka kutokea ktk angle yake, chama hakina utaratibu nani aseme hiki kwa wakati gani, wametuvuruga hadi hatuelewi nn tuamini kutoka kwao
  5. C

    JamiiForums Tanzania Bavicha ACHENI kuropoka, LOWASSA kukutana na MAGUFULI mnalalama, mbona LISSU alikutana na MAMA SAMIA?

    Atulie kwanza yy hadi apone, kl sk kuropoka ropoka tu atapona lini! Atulie matibabu yafanye kazi!
  6. C

    JamiiForums Tanzania TANAPA tafadhali pokea simu ueleze jinsi ya kuomba kazi Online

    Usidanganye wenzako, km huna vigezo ni bora kunyamaza kuliko kujaza wenzako sumu za uongo!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kenya imenusurika kunyimwa pesa za misaada kutoka Marekani, Tanzania yakalia kuti kavu...

    Soma maandiko yatakusaidia zaidi, hata unapojibu ujue kwa nn haya yanatomea wakati huu!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kenya imenusurika kunyimwa pesa za misaada kutoka Marekani, Tanzania yakalia kuti kavu...

    Shida kubwa kwa vijana wetu, hawajui maisha mengine zaidi ya ya mitandaoni, ndio maana mtu anaandika upupu muda mwingine!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi 122 za kazi bwerere kutoka TANAPA

    Hebu tupe mifano ktk staff zaidi ya 3000 hayo majina uliyoyataja ni % ngapi?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Serikali ya Tanzania kuchukiwa na idadi kubwa ya vijana wake. Tatizo la msingi ni nini?

    Km haya ndio mawazo ya vijana wanaojiita wasomi, basi ni bora tusisomeshe watoto wetu! Yaani wewe kwa sbb huna ajira basi miundombinu isirekebishwe au ndege kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi zisinunuliwe? Hii ni kwa Tz pekee! Learn to be positive!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla aanzisha Jeshi la Usu, aongoza kikosi..

    Ni ushauri wa bure tu, km huna taarifa na kitu unachozungumzia ni vema na busara wakati mwingine kukaa kimya tu hata km ni.ngumu, unajiaibisha unapoandika vitu usivyo na uhakika navyo, halafu unaandika km unavielewa!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

    Ni wachache sn wanaoelewa mambo ya huyu dada!
  13. C

    JamiiForums Tanzania Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu

    Na wale walioua walioachiwa huru zile familia za waliouliwa ndg zao wanajisikiaje? Au ni Babu Seya pekee ndio ametenda kosa lisilostahili msamaha?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hawajui kufanya mapenzi ila wanachofanya ni kubaka wapenzi wao

    Hapo ndio ujue mtu hayupo tayari
Back
Top Bottom