Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
Binafsi, sijawahi kuelewa EL ni nani hasa kwenye hayo matukio ya Ufisadi.
Maana, pande zote zinamlialia awe kwenye timu yao.
Huwa nashangaa sana, halafu EL hajawahi hata kukubali au kukataa tuhuma.
Yaani, wakati mwingine huwa namtathimini EL naishia kusema Mwenyezi Mungu na waliomlea EL wanastahili sifa na heshima sana.
Any way, Live longer Hon. Lowasa.