Mjadala: Serikali ya Tanzania kuchukiwa na idadi kubwa ya vijana wake. Tatizo la msingi ni nini?

Tatizo kubwa ni somo la uzalendo kutokuwepo shulen, laiti somo hili lingekuwepo tungekuwa watz wengi wazalendo, lingine ni uonevu ktk sekta mbali mbali kama police, mahakaman n.k rushwa iliyokithir kamata kamata ovyo lakin pia ajira na vijana wengi kuamin suala la ugumu wa maisha unasababishwa na serikal
 
Toa data mkuu. Vijana umri kuanzia miakq mingapi ? Jumla wako wangapi ? Sample yako ilikuwa ngapi ? Ni maswali gani uliuliza ? Je data analysis ulifanyeje ? Je study mbalimbali zinazoonesha kutokea nchi nyingine ? Fanya utafiti yqkinifu.
 
Sio kwamba hamna mazuri yanayostahili pongezi, mazuri yapo, swala la makinikia tulitoa pongezi, japo lishazimwa sa hivi wanatafuta jipya watuuzie sura. Badala ya kutujulisha mambo yanavyokwenda hadi mwishi utasikia mkuu anatoa amri hataki mtu aliongelee hili swala tena alafu kafunga mjadala, hivi sisi ni mbuzi?

Vijana wanaobisha ni waliosoma sanasana, wanajua tunachezeshewa movie tu ila hamna linalofanyika, na wengi wanataka nchi ibayofuata sheria maana wanajua hasara za watu kujiamlia mambo wanavyotaka, au ushasahau viongozi wangapi wanalala na kuamka na sheria zao wenyewe wanatangaza kila mtu afuate, pumbvu kabis. Hawa wazee wa zamani nuksi sana, wao wanataka tuishi kibiblia au kifamilia wakati ni nchi ya watu almost 50million. Kua na different opinions ni lazima, hao ni watu wengi sana, na its a good thing, mkuu ukiwa na opinion nyingine unasikia unavunja umoja, utupwe jela. Motherfu***r. 50M people cant speak one voice, Phd nzima inashindwa kuelewa kitu very basic.

Alafu tumechoka na ngonjera anazoimba kila siku kelele analaumu tu, hivi kazi hii anafanya bure? Si analipwa pesa ndefu tu, na bado mambo mengine yote analipiwa na pesa zetu za kodi. Malalamiko yamekua mengi utasema watu wanalazimishwa kufanya kazi au wanafanya bure. "Kazi ngumu, kazi ngumu" shut the hell up, tunajua, You wanted the job, u got it, do it or leave.
Hana PhD. Sitaki kupotea kama yule kijana wa CDM aliyehoji PhD hii. Mwenye PhD ya kweli hawezi kuwa mtu kujichanganya vile! Waliotuchagulia walituingiza mkenge. Tulie tu.
 
Hivi, unaanzaje kuipenda serikali ya ccm? Na siyo kwa vijana tu, hata wazee. Mtanzania aipende serikali hii kwa kipi?
-kubomoa nyumba za watu?
-kupigia kelele mchanga badala ya dhahabu?
-kununua madege ambayo watz kamwe hawatayapanda? Maana mlo tu hakuna utaanazaje kupanda ndege?
-kujenga mabarabara ya juu badala ya kununua madawa hospitalini?
-kujenga viwanda vya tiles, dawa za mbu na cement badala ya vile vya kuchakata na kusindika mazao ili mkulima akomboke?

Kuipenda ccm na serikali yake lazima uwe umepiga shisha pafu 10,ama bangi pafu 5, ama gongo chupa 3
Km haya ndio mawazo ya vijana wanaojiita wasomi, basi ni bora tusisomeshe watoto wetu! Yaani wewe kwa sbb huna ajira basi miundombinu isirekebishwe au ndege kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi zisinunuliwe? Hii ni kwa Tz pekee! Learn to be positive!
 
Picha hapo chini zinaonesha jitihada za serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama katika kusaidia wahanga wa ajali ya bus la wanafunzi wa shule ya Lucky Vincent iliyotokea wilayani Karatu katika mkoa wa Arusha.

View attachment 527790

View attachment 527792

Licha ya juhudi zote hizi bado vijana wanatukana sana serikali yao? Tatizo ni nini hasa?

Gharama zote za mazishi kuanzia jeneza, mochwari, usafirishwaji wa miili mpaka majumbani mwa wafiwa, the government paid all these, but guys hawapo thankful kabisa? Kila siku ni matusi na kejeli kwa nchi yao, kwanini?

Ina maana hakuna jema serikali inalofanya hata kustahili sifa?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Viongozi wenu wanajituma sana kuwahudumia kadri ya uwezo wao na hali ya uchumi wa nchi. Learn to be thankful hata kwa vitu vidogo kama hivi.

Najua nitatukanwa, kukejeliwa na kuitwa najipendekeza na kila aina ya jina, lakini tatizo la msingi ni lipi kati ya vijana na serikali yetu ya Tanzania?

Nothing is easier than blaming others for your own problems. Hakuna jambo rahisi kama kulalamikia serikali kwa matatizo yako wewe mwenyewe.

Nawasilisha.
Rambirambi za hao watoto si mlikula?

Ndo laana yenyewe hiyo ya kula pesa za wafiwa
 
Ww ni mvivu wa kufikiria na utafiti wako hauja kamilika,rudi kwanza kamalizie usije na maswali hapa uje na majibu.

~Utikuketa ifyuma bhati!!aseeee
 
Tatizo la msingi ni kuwa vijana walio wengi na wanaoichukia serikali ni wale waliozoea kuishi kiujanja ujanja,wizi wizi
 
Back
Top Bottom