Recent content by Clara Daud

  1. C

    Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

    haha kumbe akiwa kwa ndoa na kuchepuka?
  2. C

    Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

    kwani huyo anaeenda olewa nae anajua ana mapungufu gani au ndo bahat na sibu ina maana akimkuta mbaya zaid itakuaje? isitoshe hajakaa mda mrefu toka adivorce anajump kwa kakijana kengine hata maumiv hajasahau hii ni hatari kwake.ni mtazamo tu
  3. C

    Sheikh Mkuu Dsm aibua utata Freemason

    It is not our beautiful rituals or their teachings! wha are these rituals?
  4. C

    Sheikh Mkuu Dsm aibua utata Freemason

    mkuu swali zuri sana na kwa kuongezea tu ni kwamba kama kila mtu anatakiwa kuwa na iman yake na hiyo iman wanamwamin Mungu wa mbingun how come as a society moja mnakutana halafu mnasema mnamwamin mungu ni yupi huyo ktk iman hiyo?why mueke mambo ya iman wakat kila mmoja ana yake?na sacrifice ni...
  5. C

    Sheikh Mkuu Dsm aibua utata Freemason

    haha tatizo si kuelewa ni kueleweshwa ili uelewe si kufichaficha mambo sana sasa mnataka watu wasemeje jaman?
  6. C

    Diaspora karudi Kitaa baada ya miaka 30 nje, anashangaa!

    si nyie mnasema kwa nini yeye aliondoka asijenge nyie ni zip mmejenga?lazima ashangae miaka yot hiyo mnambwela tu
  7. C

    Sheikh Mkuu Dsm aibua utata Freemason

    ni nini basi maana inahusika na mambo ya imani na ni iman ipi hiyo mkuu?
  8. C

    Diaspora karudi Kitaa baada ya miaka 30 nje, anashangaa!

    achen unafki nyie na maguvu yenu mmejenga ngapi mpk mlalamikie nguvu zake ? aibu zenuuu
  9. C

    Tahadhari video inatisha: Dada huyu alifanya nini hadi kutendewa haya?

    Baki tu kusahihisha lugha ndugu mengine waachie wengine .
  10. C

    Kigwangalla: Mange Kimambi uongozi ni kiti cha moto, tunahitaji support sio matusi na lawama

    Hahahah sijui ndo ile capacity yake ya kuthink outside the box ndo kaitumia maana nimeshindwa kumwelewa defencing mechanism alotumia kha.It was too low to fit .Poor him.Lord have mercy .
  11. C

    Kigwangalla: Mange Kimambi uongozi ni kiti cha moto, tunahitaji support sio matusi na lawama

    Oyooo rapua rapua mama keanu wataelewa tu hahahaha .MTAENDELEA KUKEREKA TU JAMAN POLENI KWA HILO......
  12. C

    Kigwangalla: Mange Kimambi uongozi ni kiti cha moto, tunahitaji support sio matusi na lawama

    oyooooo jiwe limmempata mtu ndo mana analalamika mkuu wala usipate shida kujibu we piga kimya tu wataelewa nani ni nani...
  13. C

    CHADEMA tuwe makini na watu hawa, wanaharibu 'brand' ya chama

    My friend keep quite.kwani hao ulowataja wamekwambia ni wa chama gani au kwa vile wanapinga kila kitu ndo upinzan?.Vip na wale wanaosapot kila kitu ?
Back
Top Bottom