Recent content by CKALU

  1. C

    Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

    Hii mada kila mtu atavutia kwake kulingana na maeneo anapoishi..watu wa kanda ya ziwa watakuambia Sato na sangara ndio watamu na watu wa Pwani watakuambia kibua ndio mtamu.Kwa mimi ambaye nimebahatika kutembea na kuishi maeneo hayo yote naweza kusema samaki wote ni watamu ila inategemea na...
  2. C

    Kiapo cha utii Kwa Imam Hussain (AS) - Sheikh Hemed Jalala

    Jogina njoo ushushe gazeti hapa kuelezea ni nani anayeongea katika hizi aya..na wewe ukishindwa kutoa majibu hapa nitaamini kweli hizi aya zinauzika uislamu moja kwa moja. Quran 75:16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka. Quran 75:17 Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha...
  3. C

    Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Sio kama hawaoni..wapo wengi sana humu wenye elimu ya quran ila hawana majibu..kuna siri kubwa sana hapo mzee
  4. C

    Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

    Ukisoma kwa makini hizi aya hapa chini utagundua hawa wanaoongea hapa ndio waanzilishi wa uislamu,maana sio Allah anayeongea wala sio Gibril .. kama kuna muislamu anabisha aje na utetezi ulionyooka na aseme ni nani anayeongea. Quran 75:16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka...
  5. C

    Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Mpaka sasa sijapata majibu juu ya haya hizi.Waislamu wasomi wapo wengi sana humu ila hili swali wanaliogopa na sababu kubwa ni kwamba linaanika imani yao kuwa ni ya uongo.Kama wanabisha waje kusema nani anayeongea katika haya hizi.? Quran 75:16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia...
  6. C

    Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Hizi propaganda zipo nyingi sana mitandaoni.. Mimi muislamu akiweza kujibu hili swali nitaamini hii dini ya kweli Quran 75:16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka. Quran 75:17 Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha. Quran 75:18 Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma...
  7. C

    Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Wanaouksanya na kuusomesha ni wakina nani? Wanaousoma ili mtume aufuatilize ni wakina nani?
  8. C

    Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Mzee umesoma vizuri umezielewa hizo Aya?
  9. C

    Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Kabla sijaanza kufuatilia mambo ya dini kiundani ,nilikuona naona uislamu ndio dini sahihi maana mihadhara mingi walikuwa wanatamba wao..ila baada ya kuingia kiundani nikaona upepo unabadirika na kugundua ukristo ndio dini sahihi sema tu umekosa usimamizi kama waislamu wafanyavyo.Lakini kiufupi...
  10. C

    Ufunuo wa mafundisho ya utatu/umoja hatimaye wafichuliwa

    Hili swali covax analiogopa na naamini hakuna muislamu anayeweza kulijibu hili swali kwa sababu hata wao hawajui anayeongea hapa ni nani ila wanabaki kumeza tu. Quran 75:16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka. Quran 75:17 Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha. Quran...
  11. C

    Ufunuo wa mafundisho ya utatu/umoja hatimaye wafichuliwa

    Ngoja waje maana kuna sehemu hata wao hawajui nani anaongea ila wanameza tu
  12. C

    Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Sawa naomba jibu hapa Quran 75:16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka. Quran 75:17 Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha. Quran 75:18 Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake. Anayeongea katika hizi aya ni nani..ni Allah,ni Gibril au wote?
  13. C

    Ufunuo wa mafundisho ya utatu/umoja hatimaye wafichuliwa

    Covax shirikiana na wakina kishk kujibu hili swali..kama hamuliwezi tuwabatize..najua kwa nini mnaliogopa. Quran 75:16 Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia haraka. Quran 75:17 Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha. Quran 75:18 Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake...
Back
Top Bottom