Recent content by CK Allan

 1. CK Allan

  Worldremit ya Voda naitumiaje,nataka kupokea ela KUTOKA nigeria

  Mungu akutie Nguvu mkuu! Bila shaka hujatuma pesa yoyote huko...
 2. CK Allan

  Mshahara Serikalini umekuwa wa Mgao, tunakwenda wapi?

  Dah mpaka nimemkumbuka Simba wa Yuda
 3. CK Allan

  George Mpole amka la sivyo utapotea

  Suala ni kuwa George Mpole anajiumiza yeye na Wala inayoumia sio Geita.. Halafu kama wengine wanadai na hawafanyi kitu yeye peke yake akilipwa anaweza kutengwa na wenzake ikiwemo kunyimwa pasi.. Ajifunze Kwa Ronaldo
 4. CK Allan

  Azam wampa mkataba Ongala

  Sasa Azam wataanza kupoteana na mwisho wa msimu wanaleta kocha mwingine
 5. CK Allan

  George Mpole amka la sivyo utapotea

  Ni yeye peke yake anadai hapo Geita?
 6. CK Allan

  George Mpole amka la sivyo utapotea

  George Mpole wewe ni kijana uliyevimba kichwa baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita. Picha lilianza mechi ya kwanza ya ligi shidi ya Simba, wewe ukajificha kwa makusudi eti hautakuwepo kwa maana eti utokee dakika za mwisho kama 'suprise' kwa Simba na bado hukufanya chochote, hata :shot on...
 7. CK Allan

  Simba, achaneni na Ceazer Lobi Manzoki

  Wewe ni Yanga unaogopa.. Sasa ni hivi huyo mwamba ni usajili uliokamilika kabisa ni suala la muda tu
 8. CK Allan

  African Satellite World and Sat Gear

  Any FTA kwenye 7C E tunaweza watch World Cup?
 9. CK Allan

  Wafanyakazi walipwe mshahara kwa awamu mbili kupunguza ukali wa maisha

  Serikali yenyewe hii ya CCM, Sahau
 10. CK Allan

  Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

  Kwahiyo hata washindi wenyewe hawajijui? Au ndio kama Mtu hujaona PM yoyote basi imepita hiyo. Anyway Kila la kheri Kwa washindi watumie iyo Pesa vizuri
 11. CK Allan

  Alichofanyiwa Mrisho Ngassa ni uhuni, TFF, TPLB mnawajibika

  Inasikitisha ila wa kulaumiwa ni Yanga na Ngasa, Yanga walimficha Ngasa hotelini Ili asiende kucheza nje ya nchi! Na yeye Kwa upoyoyo wake akakubali.. Baadae Yanga wakamdap akaenda Ndanda.. Tuwalaumu Yanga
Top Bottom