Recent content by cjnaj91

  1. C

    Gharama ya ujenzi wa vyumba vitatu, sebule, jiko na choo cha ndani

    Kwa ushauri wangu, usikope kwanza kabla ya kuonana na wataalam wakutengenezee ramani inayoendana na mahitaji yako, hapo ndipo utapata na makadirio halisi ya gharama za ujenzi (material pamoja na ufundi) Baada ya hapo ndio unaweza kwenda kukopa huku ukijua hiyo nyumba inagharimu kiasi gani,na...
  2. C

    Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

    Unauhakika wa hilo una lose a mkuu
  3. C

    Kukosekana huduma za Taxi-mtandao Mbeya jiji kunaufanya mji kuwa wa kizamani

    Hapa umetuibia mkuu,bajaji elfu tano songwe mpaka igawilo,unafahamu vizuri umbali wake
  4. C

    Kukosa ajira kwa wakati kunasababisha vijana kuwapoteza wanawake wa Ndoto zao

    Hili ni tatizo lakuhitaji vyote kwa pupa,ila ukipangilia mambo yako huwezi kukutana na Haya. Mwanamke kaumbiwa kuhudumiwa,unakuta kijana hata kujihudumia wewe ni tabu.Ndio utaweza muhudumia mtoto wa watu kijana unatakiwa kutafuta pesa kwanza baada ya hapo ndio uanze kufikiria mke lasivyo...
  5. C

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    kweli ndicho kitu kilichopangwa hapo ila wengine wamefungwa macho hawaoni,ccm wameona njia ya kuwashinda ndio hiyo
  6. C

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    hapo ccm watacheza trick mbaya ya kuwaangusha wote kwenye uchaguzi,watajitaidi kuwabeba act wajulikane ili kwenye kura za ukawa zigawanyike na hao kupita kiurahisi,
  7. C

    Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

    mfano mama angalia matokea ya form 4 yalipoanza kuwa mabaya,serikali hii ikaona bora ishushe division ndio wataokoa jahazi,kumbe hawakuwa na fikra za mbali,kuwa ndio wanazidi kuuwa taifa la baadae,na niserikali hihii ya ccm, sasa hapo nikuwadanganya watanzania kuwa wanaelimu kumbe mnazidi kuuwa...
  8. C

    Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

    mkuu kweli umeona mbali sio kama mtoa mada ambavyo hakufikiria hao vijana chanzo cha kuwa hivyo nin?
  9. C

    ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

    hapo ndugu yangu unakosea,kwani hayo matangazo ya vifo wanafanya bure watu wa sehem flani na wengine walipie tafakari upya mkuu
  10. C

    Clouds FM acheni Utoto

    wanadai sambaza upendo sasa sijui ni upendo wa aina gani kama wenyewe wanakuwa na bifu na baadhi ya watu tutasambaza vipi huo upendo
  11. C

    Hili tangazo la mke kuangalia TV kwa jiirani

    Kweli ubunif hakuna kabisa inaonyesha hata director alikuwa hajitambui pamoja na waliolipitisha kwamba linafaa kibiashara
  12. C

    Msanii Matonya na utajiri wa kutisha

    km kwel amejitutumua
Back
Top Bottom