Mtangazaji wa hovyo Maulid Kitenge nani alikudanganya kuwa Mashabiki wote leo kwa Mkapa 'Wananchi Day' walikuwa ni wana CCM?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,252
110,834
"Muda mchache baadae Mzee Kinana atakuja Kuzungumza nasi hapa na Kutueleza Mafanikio ya CCM hasa katika Maendeleo hivyo Wote yatupasa tumshangilie" alisema Mtangazaji wa hovyo nchini Tanzania Kutokea EFM Maulid Kitenge leo Uwanja wa Mkapa katika Kilele cha Siku ya Wananchi.

Kuna Watu hapa Jamiiforums kila nikiwa Nakudharau na Kusema huna Akili wanadhani huwa ninakuonea au labda nina Chuki Binafsi nawe Masikini ya Mungu huwa nakuwa sahihi tena 100% Juu yake ( yako )

Haya sasa Maulid Kitenge pamoja na Kujikomba ( Kujipendekeza ) Kwako kote kwa Mzee Kinana ( Makamu Mwenyekiti CCM Bara ) ili azungumze hakufanya hivyo na ukabakia na Ujuha wako Uliokutawala na Uliokuponza hadi ukapata Division Zero Shuleni.

Halafu jifunze kuacha Ushamba ( Umbwiga ) wako wa Kinyamwezi na Kizaramo wa Kudundika hovyo ukiwa umevalia Vazi la Suti la 'Corporate' kama uliyoivaa leo na hiyo Miwani yako ya Kuchomelea Mageti ya Umeme Site ( Saiti ) sawa?

Unatafuta Teuzi za Mama ( Rais ) Kilazima na ndiyo maana Kutwa huachi kwenda kwa Mstaafu Kikatiba mwana Yanga SC Mwenzako na Mwanae Kipenzi ( sasa Mbunge na Naibu Waziri ) ili tu wakupigie Chapuo kwa Mama uteuliwe na Kikwazo Kikuu ni Elimu yako hafifu na huko Kufeli Kwako kwa kupata Division Zero ya Kutukuka.

Badilika kwani Unajiharibia sana tu!!!
 
Kunywa maji mengi sana
 
Back
Top Bottom