Recent content by City Rider

  1. City Rider

    JamiiForums Tanzania Nataka gari kati ya hizi mbili

    [emoji23][emoji23]
  2. City Rider

    JamiiForums Tanzania Nataka gari kati ya hizi mbili

    Madalali mnapasua vichwa sana nataka direct business mkuu owner to buyer[emoji3]
  3. City Rider

    JamiiForums Tanzania Nataka gari kati ya hizi mbili

    Wadau nataka gari used ambayo ipo katika hali nzuri sana kwa Budget ya 12~13 M. Machaguo yangu PREMIO F RAV4 kilitime Masharti. 1. Sihitaji dalali nahitaji muuzaji awe mmiliki halali kwa documents 2. Isiwe imerudiwa rangi au ina historia ya ajali 3. Isiwe na tatizo lolote kwenye bodi, injini...
  4. City Rider

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tell us about your self kama kawaida sidhani kama kuna panel ishawahi kuruka swali hili ngoja aje
  5. City Rider

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wnaichukia Marekani lakini wanatamani kufika Marekani?

    [emoji1787][emoji1787]
  6. City Rider

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wnaichukia Marekani lakini wanatamani kufika Marekani?

    Hii ndo kitu inashangaza zaidi
  7. City Rider

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wnaichukia Marekani lakini wanatamani kufika Marekani?

    hahaha kwamba they preach water, they drink wine
  8. City Rider

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wnaichukia Marekani lakini wanatamani kufika Marekani?

    Sure i tell you wewe kwenye 100 hamfiki 10
  9. City Rider

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Kuna mwenzio nilimkosa nilisikia amekuja kwangu kama kwake nikaenda kuazima Gun kwa ndugu yangu nilitaka nimtandike yeye na shemeji yake
  10. City Rider

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wnaichukia Marekani lakini wanatamani kufika Marekani?

    United states of America (USA) ndio taifa lenye mchanganyiko wa watu wote wa nchi zote duniani kuna Waarabu, wachina, Waafrica, walatino, waitaliano, waingereza n.k. Pamoja na mchanganyiko huo watu wengi pia hutamani kufika marekani hata kwa njia za panya. Sikuwahi kusikia mtu anatamani kwenda...
  11. City Rider

    JamiiForums Tanzania Mnaofananisha Simba na Yanga ligi za ndani na kimataifa mnakosea Sana. Hata viongozi wa hizi timu wanalijua Hilo.

    Badilisha medali kuwa ubingwa utoke level za Yanga
  12. City Rider

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Hatuna shida na hilo mtembee na bullet proof na Mafuta msisahau
  13. City Rider

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Marekani salama sana inategemea unajihusisha na watu gani, Kama weee ni mzee wa GANG, OG, NIGGER, MA NIGGA MA NIGGA lazima urajutana na bullets iwe Marekani au SA
  14. City Rider

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Mkikataa ndoa msizae hovyo kima nyie
Back
Top Bottom