City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,218
United states of America (USA) ndio taifa lenye mchanganyiko wa watu wote wa nchi zote duniani kuna Waarabu, wachina, Waafrica, walatino, waitaliano, waingereza n.k. Pamoja na mchanganyiko huo watu wengi pia hutamani kufika marekani hata kwa njia za panya.
Sikuwahi kusikia mtu anatamani kwenda nchi kama Iran, Saudi Arabia, Russia, korea. Na nchi nyingi za mashariki zina population ndogo ya wageni hasa weusi ukilinganisha na Marekani.
Sijawahi kusikia wala kuona DONOR wa kichina au Russia kama wapo nadhani wachache, Nimewahi kusikia manyanyaso makubwa ya watu weusi uarabuni na Mashariki kwa ujumla.
BINAFSI: Sielewi mpaka leo kwanini nchi yenye watu kutoka mataifa yote duniani, kimbilio la wageni ikachukiwa kiasi kama ilivyo.
Why hate USA if RUSSIA or else is not your first choice when it comes to travelling, working or residing abroad.