Daaah mwanangu mimi full vioja acha tu man sema naona nikiandika yote ntakua nimeshindwa kuwa na kifua cha kiume😂
Ila kwaajili ya afya ya akili mimi nimesitisha zoezi rasmi pesa ya mahali ntakula mwenyewe
Boss mimi ilitakiwa nipeleke "mahali" mwezi ulio pita niliwapa taarifa ukweni j4 kwamba j2 nakuja kutoa walicho hitaji
Jibu lao subiri tujiandae hadi week ijayo yaani j2 inayofuata
Nilijikuta nafsi inapata amani ghafla najiskia uhuru
Sijaenda tena na sijui nitakwenda lini
Gwajimanization
Logo weka mkono umekunja ngumi inatazama juu na mkono uwe na rangi ya bendera ya taifa
Nipewe zawadi ya t shirt moja nyeusi kama wazo langu litatendewa kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.