Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,171
- 83,015
nakuunga mkono hoja mkuuUlivyocheka hapo juu nimejihisi vibaya sana ni kama umekidharau cheo cha udiwani ila ulivyojibu ndiyo sasa najihisi raha tena .
October twende na mimi udiwani kata ya isongelo.
Nikishinda watanikoma asili iingilie kati tu