Daaah!!moyo wangu waniuma sana!!ni mwanamke ambae nilimuingiza katika ulimwengu wa maraha na kiukweli nilimpenda sana!!hapa katikati kulitokea mtafaruku baina yetu..!!hata mwezi mmoja haujapita juzi kalipiwa mahari!!BADO SIAMINI ILA NDO ISHATOKEA....
Kiukweli thamani ya mwanamke ni akili yake na ujuzi wa kupambanua mambo!!ukubali ama ukatae...mwanamke ndo msingi wa mafanikio katika familia.kwa uchunguzi wangu..masistaa katika mahusiano huwa hawana mipango na malengo zaidi ya kupenda starehe...wife material wengi ni wanawake...
Daah!!sikuamini kwa sababu alinitumia sms fb!!daah nilipokuja kuamini niliumia sana kwa sababu ni mwanamke aliyenipenda kwa dhati na alinivumilia sana kwa tabia zangu!!alinifumania mara nne akanisamehe!!nilipendwa ila sikupendeka...daah!!DIAMOND kanitungia NTAMPATA WAPI
Mapenzi ni sanaa na kila mtu ana ulevi wake katika mapenzi.kwa dhati toka moyoni mimi hupenda sana kudate na wanawake watu wazima!!hivyo basi kwa mwanamke yoyote wa makamo anayeishi MOSHI AU ARUSHA aliyetayari kudate na mm anicheki cirdrahric@gmail.com au 0762420443.ukimwi tutapima!!LOVE IS...
Hayati Henry limihagati alikuwa mbunge wa jimbo la solwa na anaaminika kuwa mbunge bora wa muda wote katika jimbo hilo!!kama una lolote juu yake hebu tushirikishe wanaJF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.