samaki2011
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 1,775
- 469
Wadau kutokana na ushindi munono kabisa tulioupata kwa kuwatokomeza wale wala rushwa, majizi ya mali za umma, wabakaji wa demokrasia, n.k sasa ni wakati muafaka wa kusherehekea ushindi wetu, juhudi tulizofanya ni kubwa mno kwanza kujiandikisha, kupiga kura na kulinda kura zetu usiku kucha bila kuchoka.
Kabla hatujaanza ile kazi ngumu ya 2015, niwaombe viongozi wa UKAWA watukutanishe pale Uwanja wa Taifa kwa sherehe ya ushindi.
Ktk sherehe hiyo tutahitaji mziki mnene na mzito, tule, tunywe na tucheze hadi majogoo. Tukitoka hapo tunaanza kazi ya kushambulia vijijini na mijini. Niko kikazi DRC ila siku hiyo lazima nitie timu
CC. 1. Slaa, Lipumba, Mbatia na viongozi wote wa ukawa
2. Vijana wote wa lumumba