Ajinyonga baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne 2014

Ajinyonga baada ya kufeli mtihani wa kidato cha nne 2014

Ukifuatilia maendeleo yake since form one utakuta alikuwa kilaza mzuri tu sasa unashindwa kuelewa tatizo.

Anyway kujiua ni kukwepa majukumu tu hakuna jipya.
 
Huyu naye kufeli tu anajitia kitanzi...!!!
 
mtafuteni Shy land jamani.... hali yake huko yawezekana nae kajitia kisu kama kuku wa mgeni. lol

am kidding bro.
 
Last edited by a moderator:
huyo nae mjinga mbona jk amefeli awamu zake zote za urahisi na bado akiamka anaangalia ramani ya dunia wapi pa kwenda!

comment ya siku hii, sijui mkuu ulifikiria nini,
anyway R.I.P marehem
 
Ndipo mwisho wa akili yake ulipofikia, ooh poor John.

Hawa akina JOHN visomo(wasongo) wana tatizo hilo huwa wanasoma sana hata muda wa kusocialize hawana then kwenye matokeo anakuta wale wazee wa kuruka debe(disco) ndio wamefaulu yeye msongo kafeli…msongo(stress) unamjia mara mbili ya usongo alokua nao shule!!RIP john kisomo
 
du hii elimu yetu inavyochezewa yani hata mimi sielewi hivi viwango vipya.
 
Na kuna mwingine amewekewa ulinzi mtaani kwetu ili asijidhuru baada ya matokeo kwenda harijojo.
 
Ukitoka pandagichiza unaingia shilabela,unaingia ng`wang`osha then mwamakaranga...kijiji kinachofuata ndo kwetu
 
Halafu ukute kapata Distinction kajiuliza maana yake nini kashindwa kuelewa, kaenda kwa Maprofesa Pori wakamwambia hapo umefeli mbaya, dogo kaamua kujitundika, maskini weeeee

Nimeumia sana, inauma kuwa na mfumo wa elimu mbaya kiasi hiki
 
POleni sana wafiwa.

Kwa mkoa wa Shinyanga; mimi kwa imani yangu haba kwa tukio la huyu kijana kamwe SIWEZI KUAMINI KUWA NI MAAMUZI YAKE.


Hili ni PEPO ametumiwa kwa style hii ya kujinyonga.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom