[emoji3][emoji3] hata mm nawatamani sana kuna mmoja nishawahi kukutana naye nikampelekea moto [emoji91][emoji91] huwezi amini sasa hivi ananitafuta mwenyewe zikimpanda
Shukrani kwa somo zuri..nina deep freezer nilinunua mwezi wa tatu ni (jipya kutoka dukani )..toka mwezi wa tatu mwaka huu 22 toka nimelinunua mpaka mwezi wa 11 mwanzoni lilikuwa linafanya kazi vizuri kabisa maana nalitumia kwenye biashara ya barafu na ice cream shida imeanza toka wiki iliyopita...
Mimi ni mwanaume
Umri wangu ni miaka 33
Mwajiriwa serikalini
Nahitaji mke
Vigezo..
1.Umri..30 kushuka chini
2.Awe mfanyabiashara au mwajiriwa
3.Dini awe mkristo
##Mengineyo tukikutana tutayaongea
Naacha 300000/= ya mwezi mzima hapo nakua nimenunua vitu vifuatavyo
Mkaa kiroba kikubwa=45000
Mafuta ya kupikia lita 5@=37000
Mchele kilo 30@2200=66000
Unga dona kilo 20@1500=30000
Gesi mtungi mkubwa kila baada ya miezi miwili =53000
Kingamuzi=23000
Umeme=50000
Maji=10000
Sukari kilo...
Nilikuwa na tsh 52000/= nmb juzi kucheki nakuta wamelamba kama tsh 18000/= ikanibidi niwatumie sms kwenye e mail yao maana simu yao hawapokei . Niliwaandikia maneno makali aisee[emoji3][emoji3]leo kucheki tena salio nakuta wamerudisha tsh 10000/= HAWA MABENK WANAPITIA HUMO HUMO KWENYE TOZO KUTUPIGA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.