Recent content by chuwaemanuel75

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ferry sinks off Philippines, at least 36 dead, 127 survive

    mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Stop charging in foreign currency

    kasema kitu lakini hana jipya
  3. C

    JamiiForums Tanzania Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

    X-PASTER, kweli nimepata somo. zuri sana nilikuwa sijui Faida za pilipili
  4. C

    JamiiForums Tanzania Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Tanga kimenuka magaidi washaanza kujitengenezea kambi yusipokuwa makini hata vijana wetu wataanza kufundishwa ugaidi na mwishowe nao wataanzisha kundi lao hapa nchini
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    yaani sio hapo tu kuna chuo kimoja kinaitwa st.joseph university in tanzania-arusha campus nacho kina hiyo programme ya miaka mitano nao waliomba mikopo cha ajabu na cha kushangaza majina yalitoka ya watu 3 tu na waliobakia wamehoji hilo suala wanachojibiwa ni kwama hawana haki ya kuuliza chochote
  6. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uchawi Tanzania

    Du! I hiyo SASA kali
  7. C

    JamiiForums Tanzania Alipovua tu....

    huyo atakuwa babu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Mimi naona 3 ndio zinafaa na zitakuwa zimebalance kwa maana kwamba zanzibar watakuwa na serikali yao tanganyika hivyohivyo ma kutakuwa na serikali moja itakayowakilisha pande zote. Kukiwepo na tatu mzozo wa muungano utakufa kwasababu kila serikali utakufa na nafasi ya kuiwakilisha kwenye...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

  10. C

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya hivi?

    Unajuwa jeshin matusi ni kama lugha ya kawaida na wala siishangai kwa maana nina uzoefu huo nilikuwa kambini na matusi yalikuwa kama wimbo tu ndio maana nasema ni bora matusi kwenye kambi ya jeshi ukitukana unaonekana umeiva jeshini
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya hivi?

    bora kutukana katika kambi ya jeshi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo amuua mwanae na kumficha uvunguni

    Nazani ni depression kaqtika maisha ndio zimemfanya atende jambo kama hilo ijapokuwa kashatenda kosa kubwa kama hilo la mauaji lakini ningeona bora wampeleke kwa hawa pyscologist (counselor) wamshauri na wandadisi kujua chanzo nini kwamaana katika hali ya kawaida mtu hawezi kufanya hivyo labda...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kisaikolojia katiba ya CCM itapita

    Mi naona wangetoka bungeni sisi wananchi wenyewe wenye uchungu na taifa tukaijadili hiyo katiba kwani hata sisi tuna utashi kama wao na tuna uwezo wakuijadili hiyo katiba wasizani wao kwa vile tumewachagua basi wao ndio wao hapana
Back
Top Bottom