Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
Wengi mnajiuliza CCM wanapata wapi kiburi cha kuchakachua kila sheria na kanuni tangia mchakato huu wa katiba uanze.
Intelijensia yangu inaniambia ndani ya bunge la katiba wale wajumbe wa kundi la 201 wamekua wakilelewa kama yai wamefanywa marafiki na viongozi wakubwa na wamekua wakiekwa ktk mazingira rafiki yani ahadi za mbeleni hii ni ili kufanya waone aibu kusema hapana.
Kundi kubwa pale ndani ni CCM hivyo katiba itaegemea upande wao na UKAWA kutoka nje ndio chance yao, na hata maridhiano yakitokea leo kazi yote ya uchakachuzi itaingia dustbin na ukawa watapawa headline hivyo tusahau habari za ukawa kurudi bungeni CCM hawawataki Ukawa bungeni.
CCM hawataichezea hii chance 2/3 watahonga wajumbe hata jengo la makao makuu yao waliuze ili ipatikane pesa ya kuhonga wajumbe.
Kwa wananchi ndo watatumia vitisho ..." blackmail...". Wakiwaambia wanashida ya maji ,madawati, vitanda mahospitalini na blah blah nyingine pili watawapa hesabu za mabilioni yaliyotumika kuandaa katiba ya kichina tatu watawaambia msipo kubali hii itatengenezwa nyingine ila mtakula majani kwani serikali haitakua na pesa za kutosha kuwapa huduma za kijamii kuwajengea barabara hivyo chagueni moja katiba au huduma za kijamii kutokana na woga na ujinga wa watanzania watapitisha katiba ya CCM.
KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.