Recent content by Churamagamba

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

    Huu muda wa PEPETA (mpunga mbichi uliokaangwa na kutwangwa), ukiona umeletewa izo na binti ujue....!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa aliye na iv 2013

    Anaenda certificate, kwa madaraja mwaka huu three inaishia 38, ivo aombe ualim, na washaruhusu maombi
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je wewe na mwenzio mnalalaje....? angalia...

    Mie na wangu tunaitumia iyo ya juu kati, tena ata gap kidogo hatuachi. na baridi ya Songea weee!
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naumia sana; nifanyeje?

    Kila kitu kinatokea kwa makusudi, we tulia endelea kumwomba Mungu utamsahau na maisha yataenda
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cheza bila kukunja goti…! (ukivua nami’n’tavua)

    Nime enjoy sana, imenisaidia kupitisha mda nilipokua sina kazi, hongera momma
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli wenu ndo kuelewa kwangu

    Utafungwa na maswal yako ya ajabu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nachukia miwani

    Nashukuru nyote kwa ushauri
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nachukia miwani

    Nadhan nimezaliwa nalo, nilipoenda hosp nilipewa miwan ila nackia ukiendekeza miwan macho yanaharibika, ivo siivai, nlitaka nipate njia mbadala nipunguze/ kuondokana na ili tatizo
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la matiti kutoa maji maji

    Asante
  10. C

    JamiiForums Tanzania Maskini Wambura...

    Ntawasimulia na wanangu ili wawe watu wa kumtegemea Mungu. fundisho zuri
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kufanya mapenzi?

    Mwanamke ameumbwa na aibu, hasa wale walofundwa wakafundika ndo maana anafumba macho, ndo maana ata akiongea na wakweze anaangalia chini, vilevile ata babake hawez mwangalia machon
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nachukia miwani

    Heri ya mwakampya wapendwa! jaman nnatatizo la kuona mbal lkn sipendi kuvaa miwani ya kunisaidia, nfanyeje ili niweze kuona vema bila miwan? SIKUKUU NJEMA NYOTE
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Lkn pia jitaidi kuwa vitu vya kutafuna tafuna km big g, pipi, karanga nk pindi usikiapo ham unatumi izo vitu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo la matiti kutoa maji maji

    Sio kawaida sbb wasichana wengine hawana hii kitu.
Back
Top Bottom