Recent content by CHUO CHA UFUNDI JITA

  1. C

    JamiiForums Tanzania Chuo cha ufundi JITA sasa kuanza kutoa mafunzo ya salon ngazi ya NVA

    Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo wahitimu watapata cheti kinachotambuliwa na serikali tofauti na hapo awali. Chuo cha ufundi JITA...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ufundi si kwa waliofeli tu...ni ajira inayolipa

    JITA VTC, inakaribisha watanzania wote wenye nia ya kujipatia ujuzi ili waweze kujiajiri na kuajiriwa. kozi zitolewazo: > Ususi na urembo (mambo yote ya salon za kike) WIKI 12 > Ufundi simu (hardware na software) WIKI 12 > Ufundi ushonaji mitindo mbali mbali hadi suti WIKI 24 > Tshirt/screen...
  3. C

    JamiiForums Tanzania MASOMO KWA AJILI YA DIVISION IV na 0

    Ni fursa kwa wote
  4. C

    JamiiForums Tanzania MASOMO KWA AJILI YA DIVISION IV na 0

    jJITA VOCATIONAL TRAINING COLLEGE (JITA VTC) Tunawakaribisha vijana wote wenye mtazamo mbadala hasa baada ya kupata ufaulu/matokeo ambayo hayakuwaridhisha. Tusiwakatishe tamaa na wao hawana sababu ya kukata tamaa fursa zipo nyingi sana. Tunawafungulia milango mingine, waje wasomee fani...
  5. C

    JamiiForums Tanzania MAFUNZO YA UFUNDI NI MKOMBOZI

    Kozi zote MUDA NI MIEZI 3 (WIKI 12) practical 80% theory 20%
  6. C

    JamiiForums Tanzania MAFUNZO YA UFUNDI NI MKOMBOZI

    Kwa Tathmini ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 ni kuwa; Division One: 9,816 (2.77%) Division Two: 31,986 (9.01%) Division Three: 48,127 (13.56%) Division Four: 240,996 (67.91%) Division Zero: 113,489 Division one hadi three wana uwezekano mkubwa wa kuendelea na masomo ya juu. Wenye...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ukigundua baba yako ni jangili wa tembo, utamwambiaje ili aache?

    TUAMBIE, UTAMUAMBIAJE BABA YAKO AACHE UJANGILI? (HOW WILL YOU TELL YOUR FATHER TO STOP POACHING??) Katika harakati za utafiti, nilitembelea shule ya Msingi Tungi iliyopo katika Manispaa ya Morogoro, nilipokelewa na kukabidhiwa darasa likiwa na watoto kuanzia darasa la tatu hadi la sita...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mtunzi wa nyimbo Morogoro

    Ndg, Tunatarajia kuwa na event ya kitaifa mwezi wa pili 2016. Tunaomba mtu mwenye uwezo wa kutengeneza wimbo maalum kwa event hiyo. Nitafute 0752 698 691
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya tshirt printing

    Tupo Morogoro, hatujawa na tawi bado.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya tshirt printing

    Habari wana jamvi, tunawakaribisha wote wanaotaka kufundishwa utaalam wa tshirt printing na hata wale wote wanaotaka kujifunza kwa undani utengenezaji wa batiki mitindo mbalimbali. karibu chuoni WAMI INTERNATIONAL COOLLEGE-MOROGORO WAMICO Tuwasiliane 0752 698 691 0658 698 691...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    pole kwa uchovu na usingizi mkuu. nashukuru kwa mchango wako
  12. C

    JamiiForums Tanzania Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    Tuendelee na darasa letu,
  13. C

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Mkuu nakushauri utafute chuo usome kwa vitendo kama upo serious...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Past Continuous Tense (Wakati uliopita hali ya kuendelea)

    shukrani mkuu
Back
Top Bottom