MAFUNZO YA UFUNDI NI MKOMBOZI

CHUO CHA UFUNDI JITA

Senior Member
Feb 8, 2013
116
23
Kwa Tathmini ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 ni kuwa;
Division One: 9,816 (2.77%)
Division Two: 31,986 (9.01%)
Division Three: 48,127 (13.56%)
Division Four: 240,996 (67.91%)
Division Zero: 113,489

Division one hadi three wana uwezekano mkubwa wa kuendelea na masomo ya juu. Wenye division four, wachache wenye sifa za vyuo mbali mbali ndio wataendelea na masomo hadi ngazi za juu. Wenye ufaulu hafifu na wenye division 0 wataenda wapi? Walio wengi hukata tamaa na kuingia katika shughuli zisizo rasmi na kuchukulia kama walipoteza muda kusoma elimu ya sekondari. mfano mwepesi tu, umehitimu kidato cha nne, unaamua kuwa mbeba mizigo sokoni....kwa sababu tu ulifeli kidato cha nne...siku ukikutana na jamaa uliyesoma nae na amehitimu chuo kikuu jao hajapata ajira, lazima ujifiche.....

Ili kwenda sambamba na mtu yeyote, awe amesoma au ana cheo...tafuta ujuzi usomee ili mtu wako hata kama maisha yake yako juu akija akakukuta wewe ni mtaalam katika fani fulani kwa mfano, wewe ni kinyozi mwenye cheti, atakuheshim kwa taalum yako na atakuwa mteja wako kwani anajua hutamuomba hela.

Any way, kuna chuo cha ujuzi hapa Morogoro na kinakaribisha wale wote wanaopenda kuwa na ujuzi na ufundi katika fani mbalimbali.

Ni Morogoro, kihonda, barabara mpya karibu na chuo cha WAMI INTERNATIONAL COLLEGE.​

SIMU: 0752 698 691
0658 698 691
jvtcmoro@gmail.com
 
Attachments

  • JITA VOCATIONAL TRAINING CENTRE-FLYIER-1.jpg
    JITA VOCATIONAL TRAINING CENTRE-FLYIER-1.jpg
    137.4 KB · Views: 74

Kozi zote MUDA NI MIEZI 3 (WIKI 12) practical 80% theory 20%
 
Back
Top Bottom