Hello we need Human Resource Officer
All can apply Preferable female
Knowledge in law will be an added advantage
Place of work Zanzibar
Qualification either certificate, Diploma or Degree in Human Resource or relevant academic qualifications
Experience 0 onwards
Please send your CV and all other...
Kwema wana jamvini.
Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania nijaribu bahati yangu.
Issue ni mapokeo na tamaduni ila kihistoria haswa kwa ukirsto dini hiyo ilianzia Africa na kuenea sehemu zingine za dunia kuna kitabu kinaitwa "We don't want your white Religion" kimeandikwa na Dr. Bruce Britten ukipata nakala kitakusaidia sana
Jambo hili huwa inategemea na shughuli huskika kwa mfano shughuli za SMZ zote zipo chini ya Raisi wa SMZ ila shughuli zote za Jamhuri Raisi wa JMT ndio boss ila ki-ujumla Raisi wa JMT ndio boss akifutiwa na Makamu wake sababu JMT ndio yenye Tanganyika na Zanzibar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.