Recent content by Chuma2

  1. Chuma2

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Wanalijua sana ni ujeuri wao tu
  2. Chuma2

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Mkuu unaweza kupenda jini
  3. Chuma2

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Moniccca mrembo , vipi walishakuvua wakati umeolewa? Pole mamii, nitafute nikupe dawa yao
  4. Chuma2

    Sikufahamu haya yote kwa mpenzi wangu

    Halafu et yupo chuo na uandishi huo!!
  5. Chuma2

    Karibu

    Karibu ni neno zuri sana napenda kuambiwa tena na wa jinsia tofauti
  6. Chuma2

    Mbowe: Rais Magufuli anakumbatia rushwa kuhusu tuhuma za wabunge CCM kuhongwa milioni 10

    Hata ulie na kujikatakata katu hawatajibu, suala LA rushwa serikali hii imeshashindwa
  7. Chuma2

    Rais Magufuli, yatafakari upya mahusiano Yako na Mungu

    Daaah! Ukistaajabu ya JK utaona ya JPM
  8. Chuma2

    Car4Sale Miliki gari kwa kulipa kidogo kidogo

    Mtapewa gar bila kadi halafu baadae mnatengenezewa bonge la story...kaeni chonjo
  9. Chuma2

    Wapinzani toeni hoja acheni vioja!

    Mbona hata wewe umeleta vioja? Au kuna nafasi ya kuteuliwa unaivizia moniccca?
  10. Chuma2

    Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Lazima kutakuwa na ukweli mkuu ccm hawaaminiki bora kuwa huna chama tu mkuu
  11. Chuma2

    Nampenda lakini naogopa kumwambia!

    Siyo behaviourist atakuwa anamaanisha ni mm
  12. Chuma2

    Askari Polisi Vijana Waliovalia kiraia wamwagwa Barabarani kusaka Bodaboda

    Tena tupo kuwa tunaendesha magari hawa watu ni kero kubwa acha wakatwe tu hawazingatii sheria wanatumia barabara watakavyo bila kujali watumiaji wengine..
  13. Chuma2

    Askari Polisi Vijana Waliovalia kiraia wamwagwa Barabarani kusaka Bodaboda

    Amesema wengi hajasema wote..ila mkuu ni boda boda wengi ni wezi sana juzi na jana nilishudia matukio mawili ya watu kupowa na watu wa boda boda
Back
Top Bottom