Singidan
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 880
- 937
Yalipo toka matokeo ya kidato cha pili, mkuu wa mkoa alipata shida sana. Alipata manyanyaso, matusi na hata kutukanwa. Wengine watu wa heshima kabisa walitubutu kutoa kauli mbaya. Wetu wengine walisema tumezoea unyago, jando na utoro wa shule. Leo matokeo ya kidato cha nne yametoka, Dar es alaam imeongoza kutoka mwisho. Pia shule 7 kutoka mwisho zimetoka Dar. Sasa nasubiri matamko dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es alaam