Recent content by chuma cha mjerumani

  1. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Lissu The great.
  2. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa, nani atutoe tope zito la ufukara, usalama mdogo, ukosefu wa demokrasia, ukiukwaji wa haki za binadamu na ubadhirifu wa mali za umma?

    Hebu toa kwanza hao vilaza wawili hapoo makonda na R. kikwete.
  3. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Polisi muwe na aibu mmekuwa waongo kupindukia kwa unyeti wa taasisi yenu hamkupaswa kuwa waongo hivyo, dereva tu anapata wapi ujasiri kuteka?

    Umepigilia msumarii vizuri wasirudie tena usenge wao. Tunapoelekea hawa watekaji wataanza kuuliwa hadharani ni swala la muda tuu.
  4. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Macho yangu kisiasa na kisheria kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Kumuachia shida. Kumfunga shida. Ccm inajuta sana kuhusu hii kesi.
  5. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwenye Hifadhi za Wanyapori???

    Wananchi na askari wote wanahitaji somoo. Hawa askari wanyamapori wanathamini digi digi zaidi ya binadamu.
  6. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Watanzania Muombeni Mungu Tundu Lissu anyongwe

    Atapotea kama Musiba.
  7. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Geita atangaza mbele ya Mkuu wa Mkoa kuwa ana uwezo wa kuzuia Mafuriko

    Apoo unakuta mnyeti kamuandaa ili atrend ccm majuha yako mengi.
  8. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

    Mtasubiri sanaa mntaishia kufa nyinyi kwanza.
  9. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

    Wahenga wanasema leo kwa lisu kesho kwako. Bila shaka rahisi wako atakuja kukutetea nakukufariji yatakapo kukuta.
  10. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda Atupilia Mbali Matangazo ya Jezi Mpya za Timu za Taifa. Mkataba wa mzabuni wa jezi hizo kuchunguzwa

    Sio lazima wakijisikia labda ushauri tuu. TFF ndo jukumu lao.
  11. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kingai kasema hayupo tayari kutoa ushahidi upande wangu.

    Usipotezee muda kujibizana na vichaa na mazezeta ya ccm yanachojua ni ukatili tuu. Damu zimetapakaa mikononi mwao.
  12. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea Mahakamani, DCI Kingai kutoa ushahidi wake Septemba 18, 2026

    Omba ufundishwee sio unabisha vitu usivyo vijua.
  13. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda Atupilia Mbali Matangazo ya Jezi Mpya za Timu za Taifa. Mkataba wa mzabuni wa jezi hizo kuchunguzwa

    Makonda ana akili ndogo,mnafki,kuchongea wenzake ndio kitu anacho kiweza. Chukii zote hizi itakuwa hawakumshirikisha.
  14. chuma cha mjerumani

    JamiiForums Tanzania Leadership has nothing to do with controlling people but to solve problem

    Kufipisha. NCHI IMEKOSA MUELEKEO.
Back
Top Bottom