Recent content by chui2014

  1. C

    JamiiForums Tanzania Bunda: Watangaza nia CHADEMA wapigana

    Wanachama wa chama cha CHADEMA wilaya ya Bunda mkoani Mara, jana majira ya mchana walipigana katika ofisi ya wilaya ya Bunda mjini hadi kusababisha barabara ya Mtaa wa Benki ya NMB kutopitika hali iliyopelekea mtu mmoja kulazwa baada ya hali yake kuwa mbaya. Huu ugomvi ulitokana na wafuasi wa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Sio Dr. Slaa wala Lipumba wanaofaa kuwa wagombea urais wa UKAWA

    Ukawa wameanza kutwangana Makofi ofisini ktk wilaya ya Bunda.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Mgombea tutamtangaza baada ya siku 5 Au 6

    Wanaogopa nini kumtangaza mpaka wasubiri siku 5 au 6? Sio kweli kabisa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Polisi wetu hawako makini wanapokuwa kazini na wanafanya kazi kwa mazoea sana.
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli hafai kuwa kiongozi mkubwa wa nchi, unaikumbuka hii

    Hayo ni mawazo yako lakini IkuLU ni ya CCM
  6. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli hafai kuwa kiongozi mkubwa wa nchi, unaikumbuka hii

    CCM hoyeeeeeeeeee
  7. C

    JamiiForums Tanzania Star TV, UKAWA wapo Millenium Tower Live

    Ukawa tayari wamebaha
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

    Magufuli anafaa hatuwezi kuongozwa na mwanamke.
  9. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kujitowa UKAWA

    Mzee wa Rula acha kupotosha watu maana slaa hajapitishwa.
  10. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Magufuluna na Amina wamepigwa chini
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Hakika Mh. John P Magufuli anafaa kabisa kuongoza hii nchi bila chenga maana ana maamuzi magumu na hii nchi bila maamuzi magumu haiendi.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Siasa zimefikia tamati kwa hawa wafuatao

    Slaa hawezi kupata urais nchi hii ni ndoto kwake na kwako pia
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

    Uamuzi wa hakimu ni sahihi kabisa ila sasa ni miaka michache sana kwa viongozi wezi kama hao. Jambo jingine ni kwamba pesa itarudishwa ama hapana?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hodi hapa wenyewe

    Naomba mapokezi yenu ili tujumuike pamoja katika kulijenga taifa.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Sijui ni Malaria?

    Hahahaaaaaa, hiyo malaria sasa ni mbaya maana inakufanya ule chakula cha watu ishirini na bado hakikutoshi. Jiandie kuzikwa kipindi cha njaa maana utakufa kutokana na ukosefu wa chakula. Hata manenge na Mandawa hawakuwa hivyo. Pole sana.
Back
Top Bottom