Recent content by chuchu360

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa jeshi la nchi kupigana na wananchi wake

    ayaa wew ndo unaejua kaa na akili zako ndogo za kijiwenii na storii zenuu zisizokua na uhakika ila najua ukikua utaachaa
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa jeshi la nchi kupigana na wananchi wake

    achenii kuwa na akili za vijiwenii..kwanza ivyo sio vifaru kama ujui uliza.izo ni APC na kipindi kama hiki cha uchaguzii ndio kipind kigumu kiusalama coz maadui wa nje na ndanii hutumia sana kipind hki kama njia ya kufanya hujuma na mashambulizi..na uko mtwara ni mpakani mwa nchi hivyo lqzima...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Maamuzi yake yanashangaza, anakataa kuolewa mke wa pili

    kaolewe wew kama roho inakuumaa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

    wanawake wa tanga wengi awajasoma.micharuko.awana akili za maisha zaid ya kuwaza jinsi ya kumtuliza mwanaume.ushirikina.na michepuko.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    kwelii kama kuna awa jamaa wanatuma email eti umeshinda usd 2 ml from T mobile company from usa.wanataka uwatumie mil 1na elfu 40 as custom charge ya izo ela wanazokuleta n they insst ukae hom uwasubir after sendng dat money m niliwakazia ad wakujua apa wameingia cha kikee...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaj kwenda zanzbar kwa mapumziko ya siku kadhaa

    karibuu sanaa...uku hoteli nyingi tu pia kuna lodge nzuri japo chache.ukiwa tayari nchek thru 0713064105
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda Zanzbar kwa mapumziko ya siku kadhaa

    uku hoteli ziko nyingi kuna ambazo ziko nje ya mji yaani wanaita shamba.mf la gema hoteli na ambazo ziko katikat ya mji apa forodhani na maeneo mengne mf..serena hotel..karibu zenji bhnaa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Maumivu kwenye uume baada kufika kileleni

    Uyo ana UTI aende hosptal kabla tatizo halijawa kubwa..n u.t.i huambukizwa kwa njia nyingi ikiwemo sex.kushare vyoo hasa wanawake. na uchafuu..
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    c mnasemaga bora kinuke sasa mnapiga kelele za nin tena apo iyo ni ntro tuu..
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    dunia ya saiv imebadilika amna vita ya porin kama enz zile za uganda nwadyz maadui wanaweka ngome kwenye miji na sehemu za watu coz nia yao s kuua askari bali n raia.wakuu wa serekali.majengo muhimu etc
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    ayo ni mazoezi kwaajili ya kujiweka tayari na ni silibas ya kimataifa huwa yanafanyika katika maeneo mbalimbali kulingana na topic yenyew.yapo ya porin mf..jungle patrol base.n mjini ndo kama hayo FiBUA,RAID cloud d sparz.etc
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    coz wakikaa kimya mnasema wanakula ela za bure wakifanya mazoezi et ooo wanatutisha mara mbwembwe.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    yan nmeamin baadhi ya watu humu vichwa vya panzi..awakosi cha kusema kama wanawake malaya.we kama ujui kitu nyamaza tho ili uonekane umechangia
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: M-PESA, Tigopesa, Airtel Money inalipaje?

    Namim nataka ya tigo na m-pesa
Back
Top Bottom