TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,667
- 1,566
Kinachoendelea leo katika mikoa ya kusini mwa Tanzania ni aibu kwani ni sawa na jeshi kuwapiga Mkwara wananchi wake.
Leo Mtwara vifaru vya kivita vinapita mitaani utazani bajaji. Wananchi wamejaa hofu wengine wanaogopa hata kupiga kura.
Rai yangu:
Tunajidharailisha jamanj hakuna jeshi linalopigana na watu wake.
Hebu tusubiri hawa wageni ambao ni waangalizi wa kimataifa hata waondoke ndiyo tuendelee na umavimavi wetu tuliouzoea.
Tutajiaikia aibu kujitambulisha kuwa ni watanzania.