Recent content by Chrizo

  1. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

    Mzee wa mwendokasi kwaio na yeye atakua ameunganishwa kwny grid ya taifa na Car jah la
  2. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mario ni nani?

    Yule mbna anajua kiswahili, kasoma bongo
  3. Chrizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Konda msafi chuo ulipiga course gani?
  4. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

    Hapa umetulisha tango pori, Idriss alikuwa Jkt Rwamkoma Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Andiko bora la mwaka Rais Magufuli Jembe Tumuunge mkono

    🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
  6. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuikataa Vodacom

    Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa...
  7. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Kwa upepo ulivokuwa unaenda na baada ya clip ya jana, Nahisi January angejiuzulu lakn Meko akashtuka akaamua apige bonge la counter attack akamuwahi hili credit ziwe upande wake
  8. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Vodacom nawahama leo nimewachoka!

    Mtandao gani wanatoa bundle zuri kwa wiki, vodacom naona wameamua kujifia
  9. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samwel Eto'o amepewa sana heshima AFCON

    Hapa lazima akimbie
  10. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa sana, mfikirie Ndugu Mtatiro ukuu wa Wilaya Tunduru ikikupendeza!

    Inawezekana hata mtoa mada ndo Mkulu mwenyewe, who knows?
  11. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Step by step nilivyo agiza bidhaa kutoka AliExpress

    Ulitumia postal address ya wapi?
  12. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Watanzania ni waoga kufanya manunuzi Mtandaoni?

    Kuagiza mtandaoni raha sana, hii screen protector niliitafuta kariakoo nzima sikuipata nikaagizia aliexpress kwa tsh kama 3000 na ikanichukua kama mwezi kuipata
  13. Chrizo

    JamiiForums Tanzania Mambo 11 mazito yanayomponza RC Hapi mkoa wa Iringa

    Kwann ujifiche katika Id fake kisha ujisifie hivyo, kama utendaji wako ni mzuri acha watu wakusifie. Watch out Hapi
Back
Top Bottom