Vodacom nawahama leo nimewachoka!

Vodacom nawahama leo nimewachoka!

Hao nilishaachana nao kama miezi 4 iliyopita. Hapa natumia Halotel tu, kifurushi cha 5000 napata dakika 600 halotel to halotel, dakika 100 mitandao yote, GB 5 na sms 7000 kwa mwezi na maisha yanasonga vizuri kabisa.
 
Lamsingi unaweza kuhama mtandao na namba yako hiyohiyo akahamia mtandao mwingine kuepuka usumbufu wa kubadili namba
 
Voda ni hovyo hovyo sjui wameishiwa li mtandao lao saiz LA kisee sana
 
Wale wa matumizi madogo karibu

Halotel
Screenshot_20190711-110303.jpeg
 
Yaani shilingi elfu mbili unapata MB 512, Jamani Jamani vodacom, Halafu sasa ajabu na kweli ni kwamba katika kuwataarifu wateja wao juu ya mabadiliko hayo wametumia maneno ''tumeboresha''.....

Wakuu tupeane ushauri hapa tunahamia wapi... ?
Mimi nahama Voda walahi, ila sijui niende wapi kwenye ahueni ya bando la internet
 
Bundle la muda gani?
 
Mm mwenyewe nahama,nahisi halotel itanifaa kwa muda huu
 
Mtandao gani wanatoa bundle zuri kwa wiki, vodacom naona wameamua kujifia
 
Tigo kwenye size yako wananipa GB 1 kwa buku siku 7....
Tigo pia cha chuo jero MB 300

Nishaamaga Voda kitambo asee
 
kama uko dar au sehemu yoyote yenye 4G au 3G ya TTCL nakushauri jaribu kutafuta line yao ya chuo
20190721_080556.png

20190721_080513.png
 
Yaani shilingi elfu mbili unapata MB 512, Jamani Jamani vodacom, Halafu sasa ajabu na kweli ni kwamba katika kuwataarifu wateja wao juu ya mabadiliko hayo wametumia maneno ''tumeboresha''.....

Wakuu tupeane ushauri hapa tunahamia wapi... ?
Mimi nahama Voda walahi, ila sijui niende wapi kwenye ahueni ya bando la internet
Mega bando halotel
 
Mkuu hapo hujaconfirm kama wewe ni mwanachuo
 
Back
Top Bottom