Recent content by christopher Hermes

  1. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa ashikwa pabaya Iringa mjini

    -Kasi ya RC Hapi yamtia yamtia hofu ya kung’olewa ubunge 2020 -wivu wamtesa ataka ashirikishwe kuwashughulikia wazembe, Asema RC Hapi anapata sifa peke yake NA JOANITHA KIWALE MBUNGE wa Iringa mjini, Peter Msigwa,ameingiwa hofu na kasi ya utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi na...
  2. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Kuelekea miaka mitatu ya Rais Magufuli: Mafanikio ya bandari yaleta matumaini

    waongeze bidii kwenye makusanyo ya kodi ili kuongeza kasi ya maendeleo
  3. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Kuelekea miaka 3 ya Rais Magufuli, TPA yataja hatua muhimu kumaliza bandari bubu

    Na Mesa Mahadhi SERIKALI ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli, kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ina mpango wa kuzirasimisha Bandari Bubu zote nchini ili kutengeneza mazingira mazuri kwa watu wanaozunguka bandari hizo. Bandari hizi ni zile zinazopakia na kupakua bidhaa bila...
  4. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Tabora, Nzega: Profesa Ndalichako atumbua wawili

    Waziri Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kuwaondoa Mratibu wa Miradi na Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo ya Ualimu kwa kushindwa kusimamia majukumu yao na kusababisha baadhi ya miradi kushindwa kukamilika kwa wakati. Profesa Ndalichako...
  5. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Kuelekea miaka mitatu ya Rais Magufuli: Mafanikio ya bandari yaleta matumaini

    Tanzania ya neema inakuja
  6. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi za Statistics

    Tengeneza business card, pita vyuo mbalimbali tangaza una assist watu kuandika research paper na proposals utapiga hela mpaka usitamani kazi
  7. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naomba kuelekezwa jinsi gani nibet hata nikikosea kubashiri timu moja au mbili nipate mzigo
  8. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 597 wa NIDA wafutwa kazi. Waliofutwa wadai hawakulipwa mshahara kwa miezi 3

    Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa yatoa tangazo rasmi kufuta ajira za watumishi wa muda.
  9. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tunaomba utumbue jipu huku CHADEMA ukiweza

    Kweli mkuu tumpe lowassa kuwa kiongozi mkuu wa chama
  10. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    weka na uthibitisho tukuamini mkuu
  11. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    tunapozungumza mijadala kama huu tuweke uzalendo mbele na maslahi ya wakubwa tafadhali
  12. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    IPTL yatangaza punguzo kubwa la umeme kuanzia mwakani,hii ni habari njema mnooo, lakini endapo itatekelezwa nimeona kwenye blogs,haya tusubiri tuone
  13. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    sijui kuhusu hili la kuaminiwa na wakenya kama ni kweli basi hongereni sana lakini kama ni drama,Mungu awasaidie sana
  14. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    thibitisha kuumbuka kwa kafulila mkuu
  15. christopher Hermes

    JamiiForums Tanzania Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    mjadala si mwepesi kama wengi mnavyouchukulia unataka mjadala mpana utakaolenga kuweka maslahi ya taifa letu changa mbele na wala si maslahi ya watu binafsi
Back
Top Bottom