Recent content by christmas

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sadaka itakayokuokoa siku ya Tabu

    Mkuu Rabbon hongera sana kwa uzi wako, nimebarikiwa sana na hiyo sala ya toba, ingekua vyema kama hiyo sala ungeiweka kwenye kila thread yako humu, ata kama mtu mmoja atakiri kwa Mungu wetu ni ushindi mkubwa sana!! Hakika tupo nyakati za hatari!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mfalme Nimrod, Malaika waasi na Majitu makubwa

    Mkuu shukrani kwa bandiko zuri, ila ingependeza zaidi kama ungetoa na reference ya kwenye biblia au source ya ulipotolea haya madini!!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Kwa kifupi wachaga na wakinga wanatelezea mulemule kwenye wito Mungu aliowaitia.. Kila mtu/kabila kuna kitu Mungu amewawekea ili kutimiza kusudi lake kwetu na hapo na sisi tunafanikiwa!! Kwa wasomaji wa biblia mtaungana na mimi kwa kurefer makabila 12 ya Israel (watoto wa Yakobo) pale baba...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Mkuu unataka kusema kua wachaga ndio kabila pekee nchi hii linalofanya matambiko? Mbona kila kabila na jinsi yake tena wengine ni washirikina wanaosifika ila kwa maendeleo hawawakuti wachaga? Au tuseme hiyo miungu ya jamaa zetu wameshikilia mifumo ya utajiri/maendeleo
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    Umenifurahisha sana kusema kua umeokoka...ubarikiwe sana na kama kweli umeokoka utafahamu jinsi gani ndoa na maisha kwa ujumla ya wapendwa yanavyopigwa vita na shetani!! Kitu unachokosea ni kumpa binadamu mwenzio nafasi zaidi ya Mungu wako aliekuumba!! Umejishusha sana kwake adi sio poa...mpe...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuepuka kuwa usichotaka kuwa

    Barikiwa sana, kuna nafsi itaokoka kupitia bandiko hili
  7. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna matatizo mengi zaidi ya kebehi kwa Hayati Magufuli, Wanasiasa wanaotumia kichaka hichi Tuwakatae hadharani

    Hakika nchi yetu imegubikwa na ujinga na upuuzi mwingi sana na kinachouma zaidi wananchi tupo kama mazombi, tunapelekwa tu. Embu angalia nchi haina umeme, maji shida, hali ya maisha ni ngumu kwenye maofisi ya serikali ukiritimba umejaa alafu kuna wapumbavu wananyanyua midomo yao na kumkashifu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ushoga sio ishu tena! Sasa ni ndoa na wanyama

    Mkuu umeandika kitu muhimu sana, ila umekua bias kwani hata hao wanaowatumia hao mashoga na hao makahaba pia akili zao zina shida pia... Mithali 6:32-33 "Yeye aziniye na mwanamke hana akili kabisa na afanya jambo litakalomwangamiza"!! Mungu atusaidie sana!!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mwl. Mwakasege: Kuna maamuzi makubwa yatafanywa na viongozi na yatawashangaza, tunahitaji waombaji wa kimkakati

    Yani hapa ukipitia comment za watu ndio unaweza kisia YESU KRISTO WA NAZARETH akishuka toka mawinguni muda huu ni nani atanyakuliwa nani ataachwa... Sijui ni kiburi cha uzima ama ni nini, Mungu atusaidie sana wengine unasoma comment zao unaona mtu anaandika ili aonekane anajua sana... Wakuu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu lilivyo na nguvu

    Hakika kwa Yesu kuna raha wapendwa yeye anatualika twende kwake tuache dhambi za dunia... ..."onjeni muone Bwana ni mwema!!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu lilivyo na nguvu

    Hakika jina la Yesu na Damu yake vinanena mema mkuu. Vp bado unaendelea na uasherati/uzinzi au umeacha? Karibu kwa Yesu mkuu ya duniani yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo!!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G Secret Agenda yatikisa soko

    Umeandika kitu cha tofauti sana mkuu...ila hapa adi uwe na jicho la tatu ndio utang'amua.... Tafadhali ikikupendeza elezea kiundani !!
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wanawake wana uwezo wa akili sawa na wanaume?

    Me naona ni fifty fifty haina cha kwamba imebase wapi. Maana kwa mfano tuangalie kwenye matokeo ya shule maybe ya darasa la 7 au kidato cha 4 au hata chuo.. unaweza kuta wanawake wamewaburuza vibaya sana wanaume. Ila pia mimi nawajua wanaume ambao ni empty set kichwani adi unajiuliza.. Lakini...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

    Mkuu hiki ni kitabu chake kipya? Maana ni mara ya pili sasa nakiona unapost. Nifafanulie plz
Back
Top Bottom