Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G Secret Agenda yatikisa soko

Bado anaimba kwa kupiga makelele kama nyimbo zake za zamaani?
 
At least ameweza kusikika tena,sio swala jepesi hili nakwambia.

Kesho na kkutwa akianza kualikwa kwenye majukwaa ya uinjirishaji itakuwa sababu ya nyimbo za nyuma na hizi za sasa.
Kusikika ni promotion mkuu, haihitaji kuwa suala zito au jepesi. Kama huna pesa kufanya promotion huwezi sikika. Pia biashara ya muziki inahitaji effort ya promotion ireflect kwenye mauzo.
 
Malkia wa muziki wa Injili Rose Muhando amerudi kwa kasi ya 5G huku akitajwa kuwa ni msanii namba moja wa injili kwa sasa Tz

Album yake ya Secret agenda imetikisa kwa kufanya vizuri sana sokoni huku akineemeka kwa mamilioni ya viewers huko Youtube

Nyimbo zinazofanya vizuri kwa sasa ni Secret agenda iliyobeba jina la Album, Tuipakue, Siki na fongo na nyimbo inayoitwa "Kama mbaya mbaya tu".

My take:Sikuwahi kuamini msanii akiporomoka kama anaweza kurudi kwenye chati hivi, huyu mwanamama ana karama ya kipekee kuna la kujifunza kutoka kwake na wasanii wengine wote ambao ndo wanataka kurudi kwenye game

Rose muhando ni msanii pekee ambaye alipotea kwenye game ndo amerudi na moto ule ule na kubaki namba moja....
Kwani ilikuwa je mpaka akapotea kwenye ramani ya dunia?
 
Ukiangalia uimbaji wa Rose, bado hajaelewa vizuri ukristo wa upendo ni nini,
Haachi aongozwe na love...huu sio ukristo sahihi
Umeandika kitu cha tofauti sana mkuu...ila hapa adi uwe na jicho la tatu ndio utang'amua....

Tafadhali ikikupendeza elezea kiundani !!
 
Rose mhando ana kipaji Sana , Hana management tuu , hakuna msanii wa nyimbo za injili anaweza mfikia, kidogo ilikuwa ambwene Ila naye sku hzi sjui anaimba nn hata haeleweki au kale kadada kanamchanganya....secret agenda bonge Moja la pini
 
Back
Top Bottom