Recent content by Christian Ronaldo

  1. C

    JamiiForums Tanzania Majengo ya Morogoro, Nani mjenzi?

    Mimi nakaa Kihonda Mkuu....Kihonda Kwa Chambo nimezaliwa Moro Elimu yangu ya msingi,sekondari yote Moro....naijua Moro vizuri....ni kweli kwamba si Nyumba zote ni Nzuri na si kweli kwamba Nyumba zote za Moro au Kihonda ni mbaya....pia n kweli kwamba si viwanja vyote vimepimwa Moro lakin pia...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Na hapo Ndo mjue CCM wanafanyaga maovu makusudi na baadae walofanya upuuzi huo hutunukiwa vyeo Leo aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Iringa ambaye mwandishi wa habari marehemu Mwangosi aliuliwa mbele yake kapandishwa cheo,haya na bwana Makonda aliyemshambulia Mzee Warioba ni Mkuu wa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa Darasa la Saba wafutwa

    Bora elimu and not Elimu bora....................tumekukosea nn CCM?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Nyooooo......
  5. C

    JamiiForums Tanzania Binti akutwa amekufa Guest House Morogoro

    Jina la gest plllllllllz.....
  6. C

    JamiiForums Tanzania Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

    twatwatwa Acheni kuhukumu kwa kusikia.....ulimkuta nazo hizo bangi au mkishasikia na nyiny mnakuja kujifanya mashuhuda ili tuwaone mnamjuuuuuua Afande selle tokeni zenu hapa......bora ya selle kuliko mbunge bubu abood.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

    Waambie shad~bonzo
  8. C

    JamiiForums Tanzania Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

    Tokeni zenu bwana......mnaongea kikike hamna hata sababu za msingi ila hamtaki tu afande sele kuwa mbunge nyi wehu kweli....sisi wana Morogoro tunamtaka tena sana tu,hata Sugu kuna mapunguuani walipiga kelele hivyo hivyo lakini leo hii kimyaaa.......
  9. C

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Prof. Lipumba na wafuasi wa CUF wakipata kipigo

    **** la mamako mzazi.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Prof. Muhongo: Mengi ni mtu mwenye Nguvu/Ushawishi zaidi Tanzania

    Alisema akitoka Nchi itatikisika hebu tuone now huo mtikisiko......
  11. C

    JamiiForums Tanzania UKAWA hapa nimewakubali

    Ukawa tumaini letu.......
  12. C

    JamiiForums Tanzania Escrow kumuumbua Rais Kikwete

    Acha mapenz ya kijinga......Nchi hii ni ya wa Tanzania sio ya CCM wala ya CHADEMA Kikwete na wenzake ni wezi.......serikali yake tumeshuhudia kashfa ngapi za wizi ambazo zinzfanywa na wanaoitwa wasaidiz wake?,hakwepi haya huo ndo ukweli......mapenz ya kijinga hadi kupotosha ukweli hauna nafas...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Sijadanganya umri, kinachoonekana ni makosa ya kiuchapaji

    Mwigulu si aje hapaa,na vyeti vyotemmmprimary to univ..
  14. C

    JamiiForums Tanzania Urambo mashariki kwa Mh.Sitta mambo yameiva

    Delete ccm
Back
Top Bottom